Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,496
- 34,054
Yawezekana ikawa zaidi ya Sinza ni hatari sana.Na tabata tena?
Yawezekana ikawa zaidi ya Sinza ni hatari sana.Na tabata tena?
Mamaaaeee... Me hapo pangechimbika... Ni mgegedoo tuu kwaJamaa yangu anaishi Msakuzi alipata demu sinza,amepanga chumba masta. Siku moja anaenda kwa demu wake akapokelewa vizuri tu akakaribishwa ndani. Baada ya muda kidogo akaingia jamaa ...anafahamiana na dem ni swahiba wake. Mara kidogo, dem akamuomba jamaa watoke nje kidogo yule jamaa anataka kuoga ....
Wakatoka. Mshkaji kapigwa butwaa haelewi elewi. Baada ya dakika kadhaa jamaa kamaliza kuoga akapiga simu warudi tu ndani. Wakaingia. Wakakuta jamaa keshaoga amevaa anamalizia kujipodoa kageukia dressing table. Jamaa akakaa kitandani na dem wake....wanaendeleza stori yao.
Jamaa kashika wanja na chanuo mkono mwingine kamgeukia jamaa anamuomba radhi kwa usumbufu "shem samahani kwa usumbufu..." jamaa kabaki katoa macho, anashangaa mwanaume kashika wanja. Kamaliza kupaka, kaondoka.
Badae demu kamuomba radhi mshkaji na anamwambia isimsumbue yule sio bwana wake....kwanza ni "shoga" tu. Alikua anaishi na Bwana wake Mwananyamala wamekorofisha; anaishi kwa muda pale na demu wa mshikaji.
Mambo ya Sinza.
naogopa kukuwekea orodha mumeo anaweza kuwa mmoja wao.Na Nani??🙄
hahhahahahahanaogopa kukuwekea orodha mumeo anaweza kuwa mmoja wao.
Huko kote we piga mbupu tu utembee. Usiweke kambi.Tabata tena?![emoji849]
Kwanini
Maisha yenyewe sinza ni ya anasa sana, pombe full time wanasema ndani ni joto hivyo wanashinda vijiwe vya pombe muda mwingi.
Hakuna mwanamke au mwanaume wa mtu mmoja sinza.
Ndomaana wengine tunatafutaga maduu kwarulengeJana tukiwa kwenye foleni zetu za Dar kurudi nyumbani, mmoja ya mshikaji wangu akatuambia amepata mpenzi. Tukamfurahia na nini, tukamwuliza anaishi wapi, akasema anaishi SINZA[emoji849]
Wenzangu 4 kwenye gari wakaanza kuwaka na kuguna "Dah! Mwanamke wa Sinza achana naye, hafai. Pale huna mwanamke" na malalamiko mengi
Mimi nikawauliza "kwani mdada akiishi sinza kuna shida gani?" Kila MTU akaanza kucheka kasoro mwenye mpenzi[emoji124]
Jamani wadau huku embu mnijuze, kwani mwanamke akiishi Sinza kuna shida gani? Wewe ukimpata mwanamke anaeishi Sinza utamkataa?
Hadija kopa ana rafiki shoga au?? 🙄Na wanawake mtatufelishia jamii yetu kama mlivyotufelisha pale bustani ya Eden sababu ya mambo yenu ya kipuuzi.
Sasa mnaongea na mashoga mtakuja kustuka chochote siku mkisikia watoto wenu wa kiume wamekuwa mashoga?!
Niliiona hii kitu kwa hadija kopa na ndipo pale nikaona kweli ukitaka kufelisha taifa then mpe uhuru wa maamuzi mwanamke!
Yesu wangu 🏃🏃🏃🏃Tabata kuna malaya wengi kuliko hata Sinza worse enough age range ni 18 up to 30.
Mimi binti akiniambia anakaa Tabata au Sinza hata kutongoza naahirisha.
Jamaa yangu anaishi Msakuzi alipata demu sinza,amepanga chumba masta. Siku moja anaenda kwa demu wake akapokelewa vizuri tu akakaribishwa ndani. Baada ya muda kidogo akaingia jamaa ...anafahamiana na dem ni swahiba wake. Mara kidogo, dem akamuomba jamaa watoke nje kidogo yule jamaa anataka kuoga ....
Wakatoka. Mshkaji kapigwa butwaa haelewi elewi. Baada ya dakika kadhaa jamaa kamaliza kuoga akapiga simu warudi tu ndani. Wakaingia. Wakakuta jamaa keshaoga amevaa anamalizia kujipodoa kageukia dressing table. Jamaa akakaa kitandani na dem wake....wanaendeleza stori yao.
Jamaa kashika wanja na chanuo mkono mwingine kamgeukia jamaa anamuomba radhi kwa usumbufu "shem samahani kwa usumbufu..." jamaa kabaki katoa macho, anashangaa mwanaume kashika wanja. Kamaliza kupaka, kaondoka.
Badae demu kamuomba radhi mshkaji na anamwambia isimsumbue yule sio bwana wake....kwanza ni "shoga" tu. Alikua anaishi na Bwana wake Mwananyamala wamekorofisha; anaishi kwa muda pale na demu wa mshikaji.
Mambo ya Sinza.
[/QUOTE huyo jamaa kaingizwa mjini, yule jamaa siyo shoga wala nini ila alikua anakula mambo kwa huyo mwanamke, sasa kwa sababu kafumaniwa kaamua atumie huo ujanja!!
Mjini shule....
Na wewe unaishi sinza?! 🙄Watu uhuni ndo tabia yao wamehamia sinza ndo wanafanya kila mkazi wa huku aonekane mshenzi.
Kiru 🏃🏃🏃🏃🏃Asilimia kubwa ya wanawake Wa sinza wanaunga mkono kaulimbiu ya muheshimiwa ya hapa kazi tu , sema mitaji yao wanatembea nayo muda wote, na biashara yao inafanana na hawalipi kodi.
We NI profesa WA mashoga au mtafiti?!😂😂Samahani niko nje kidogo ya mada hivi shoga akifika kileleni huwa anaharisha?..Samahani kama nitakuwa nimewakwaza lakini[emoji848]
Kwakweli 😂😂😂😂Kuna wanaume wa Dar na wanawake wa Sinza 😀 😀 😀