SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
- Thread starter
-
- #61
hili la kufungua buti kwa gari la wanawake nakuunga mkono, lkn hili la kutembelea ma-sa-bu=ri mimi simochezeyaaa kutembelea makalio wewe...
halafu usiombe sasa ufungue buti la gari la mdada, utakutana na mini supamaketi huko hata muhuriwa ikulu utapata...
Ichana ...Ichana Angalia usije ukapata mwanaume mbabe halafu ukayafuta haya maombi yakoNachukia sana wanaume wa kiivi haaaaaa majanga
Huyu mwanamke ameshamjua na atamsumbua hadi akome
Mwanaume anakuwa baba/ kiongozi yy ndo kila kitu na kauli yake ndiyo ya mwisho kweny maamuz kinachofuata ni utekelezaji tu no matter u like it or not
Sasa huyu mwenzetu anakituliza tuuu mke anaamua kufanya misele yake kama Gari LA polis la doria
Mungu niapushe na wanaume wasiokuwa na maamuzi
haa haa wewe utakuwa unaweka wese la mawazo.Ni ulimbukeni wa magari tu hamna lolote! Miye mbona najituliza zangu nyumbani na mume wangu tena wikends kwa raha zetu hao wanayao!! Mweeeeeeh! Ha ha ha!
Ichana ...Ichana Angalia usije ukapata mwanaume mbabe halafu ukayafuta haya maombi yako
Tatizo siyo umiliki wa gari bali ni mtoko wa hovyohovyo, gari ni la familia regardless liwe limenunuliwa na mwanaume au mwanamkeTeheeee mkuu kama mke ndo mwenye gari je?! Tena usikute ndo mume anaazima kwake akaoshee mtaani.... utaanzia wapi kumnyang'anya nawe hata sh kumi hujatoa?!
hahahahaha eeeeh kazi....hilo gari itakuwa kajua kuendesha hivi karibuni kwahiyo mchecheto ule wa mwanzo..akilizoea ataona kawaida tu
Mfano Ichana, kwenye case hii huyu mume ametumia diplomasia ya hali ya juu sana, ikivuka hapo walai ni ubabe tu.Unajua tofauti ya ubabe na kuwa na maamuzi?
Heshima ya baba sio ubabe wala udikteta mtu wangu
Watu wanatumia diplomatic way na wanaeleweka na wanajitambua na kuwa na maamuzi as father of family na kuyasimamia
Mfano Ichana, kwenye case hii huyu mume ametumia diplomasia ya hali ya juu sana, ikivuka hapo walai ni ubabe tu.
unafaa kuwa wakili kusimamia hii kesi mtu wangu, duh! nimekukubaliSikiliza hujui akili ya mwanamke wewe...
It too late to use diplomasia
Tangia mwanzo mwanaume anaonekana ni dhaifu haiwezekani kama ni kiongozi wa familia utoe maamuz yasifuatwe
Ina maana
Mke hamweshimu mumewe
Hana kaauli
Gari la mkewe
Ndoa yao ipo mkao wa chura
Baba hasimamii kauli na maagizo anayotoa
Na kama ni ulimbukeni wa gar jipya isingechukua mda mrefu bila kuchoka hiyo mitoko isiyokuwa na maana
Mbwa mzee hafundishwi mbinu mpya jamaa anakumbuka Leo kutumia diplomasia wakati mke kashajua jamaa hana kauli na anachosema sio lazima kukifuata
au vipi bintimkongweHata na mimi naona hao ni malimbukeni tu wa magari, wakichoka watakaa nyumbani.
Mkuu hoja yako nimeiekewa kuwa ni mtoko wa hovyo hovyo, ila hapo ndugu yetu aliposema "mwanamke anyang'anywe gari" ndo issue yangu ilipo. Inakuwaje mtu akunyang'anye gari isiyo yake?Tatizo siyo umiliki wa gari bali ni mtoko wa hovyohovyo, gari ni la familia regardless liwe limenunuliwa na mwanaume au mwanamke
si mkeo, kwani mnabeba abiria kwa gari yenu? I love mini skirts
Mfano Ichana, kwenye case hii huyu mume ametumia diplomasia ya hali ya juu sana, ikivuka hapo walai ni ubabe tu.
Manake utagandana nae siku nzima mpaka kurudi??