kibovu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 748
- 789
Wakuuu habari za weekend.
Ndugu zangu kumekuwa na mawazo potofu wanawake wote WANAOENDA gym wanaliwa.
Wakuuu sikatai wanaoliwa wapo hapo ni asilimia 0.01 na wanaliwa na trainer kwa utafiti wangu .Mimi ni mtu wa mazoezi naelewa.
Wakuuu nitoe angalizo msicheze na Dem anaenda gym anaweza kukukunja ww ambaye zoezi lako ni ukila ukishiba unaenda chumba Cha pili kupunguza uzito .
Binafsi nawapongeza wanajutuma sana gym but sijawahi kiwatongoza Mimi huenda kupiga tizi na kusepa.