Wanawake wanaoenda GYM

Wanawake wanaoenda GYM

Wakuuu habari za weekend.

Ndugu zangu kumekuwa na mawazo potofu wanawake wote WANAOENDA gym wanaliwa.

Wakuuu sikatai wanaoliwa wapo hapo ni asilimia 0.01 na wanaliwa na trainer kwa utafiti wangu .Mimi ni mtu wa mazoezi naelewa.

Wakuuu nitoe angalizo msicheze na Dem anaenda gym anaweza kukukunja ww ambaye zoezi lako ni ukila ukishiba unaenda chumba Cha pili kupunguza uzito .

Binafsi nawapongeza wanajutuma sana gym but sijawahi kiwatongoza Mimi huenda kupiga tizi na kusepa.
Wewe jamaa unashangaza sana kwahiyo ni ajabu Mwanamke kuliwa? Kwan wapi ambapo hawaliwi? Watu wanatafunwa kwenye nyumba za ibada sembuse Gym?
 
Hayo yanayoenda gym ni yale ma singeli maza! Hivi mimi mme wako niko hapo utaondokaje home kwenda Gym?
 
Wewe jamaa unashangaza sana kwahiyo ni ajabu Mwanamke kuliwa? Kwan wapi ambapo hawaliwi? Watu wanatafunwa kwenye nyumba za ibada sembuse Gym?
Mkuuu relax ndo maana unakitambi haha
 
Wakuuu habari za weekend.

Ndugu zangu kumekuwa na mawazo potofu wanawake wote WANAOENDA gym wanaliwa.

Wakuuu sikatai wanaoliwa wapo hapo ni asilimia 0.01 na wanaliwa na trainer kwa utafiti wangu .Mimi ni mtu wa mazoezi naelewa.

Wakuuu nitoe angalizo msicheze na Dem anaenda gym anaweza kukukunja ww ambaye zoezi lako ni ukila ukishiba unaenda chumba Cha pili kupunguza uzito .

Binafsi nawapongeza wanajutuma sana gym but sijawahi kiwatongoza Mimi huenda kupiga tizi na kusepa.
Basi hujui mkuu. Gym na mbio hiz za marathon hasa kili marathon ni zinaa tupu
 
Back
Top Bottom