BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 4,909
- 10,666
Nipe kashata nijilimbwase.Wazee wa comment section, nauza pepsi baridi. Uzi nahisi utakuwa na jua huu, kupoza koo muhimu
Was Arusha necessary?? Ungesema tu kuna huyu mdada, au kuna hii ndoa mke wake ni mwanasheria.Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda
Hapo sasa,, wanapendwa hawa kuombwa kila kitu. Ila wakija huku jf ndio wanatuona kausha damuWafukuzwe kazi wakatumikie ndoa?
Na hapo ndipo waliponyimwa uvumilivu na busara.Mwanamke akiwa na hela,hata kama ni mkeo,ni zake yeye na majambazi fulani wanaitwa "watoto wenu"!Nikubaliane na wewe tu kwamba mwanamke mweye pesa ni mwanaume mwenzako. ππ
Una wazimu si bure! Mbona wake zetu ni vigogo na bado wanatuheshimu, wanapika, wanatandika Vitanda, wanatufuta tukimaliza kula k zao, nk wakati huo huo wanaleta pesa nyumbani. Acheni ujinga wenu. Acha ku generalise. Mwanamke anaheshimu mume wake hata akiwa na elimu, cheo Inategemea na makuzi yake.Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.
Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.
Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.
Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.
Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.
Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.
Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.
Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.
MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.