Nipe namba zao niwatatulie shida zao nipo ArushaWasalam wana JF za mida hii
Nimekuja na mada hii siku hizi wadada wananuka shida yani ukichukua tu namba yake ni kama umejitafutia matatizo maana ile mnaanza tu mawasiliano utaambiwa na vocha ndio inaisha hivyo nitumie tuendelee kuwasiliana
Hujakaa sawa mara gesi imeisha mara kodi inaisha mara simu imepasuka kioo mara saloon inatakiwa elfu 50 mara viatu mara nguo ya sherehe unapewa majukumu mazito ndio kwanza umemweleza ya moyoni hata hajakubali ombi lako
Kwa kweli ni changamoto sana hata kama unakuwa na hela jamani wadada jirekebisheni hii tabia mnaomba kama walemavu tunaogopa hata kuomba namba kwa visa hivi juzi kuna bint jirani nimeomba namba yake akaniambia ili nikubaliwe ombi nimnunulie simu kama nayotumia mimi nina ushahid wa mida hii baada ya kujaribu kuchati na wadada wawili wadada hii tabia inakera sana kwa tabia hiz kuolewa kwenu itakuwa changamoto View attachment 2380933View attachment 2380934
🤣🤣🤣Kwwli kabisa wacha tuu tuendelee na vpn + lotion
Kuna sister yangu ameshaolewa ukimtongoza anakukubalia alafu anakuomba million 10 hiki kiunzi wajuvi ndo wanaoweza kukiruka wengi wanafailSasa hapo mbona wote wewe na huyo mwanamke mnanuka shida!?
Maana wewe ungekua hunuki usingelalamikia kumlipia kodi ya rum3 ungemnunulia kiwanja au nyumba kabisa
Halafu inawezekana kwa huyo hiyo ikawa ndio style ya kukutema
Basi mdogo wangu lala salama😆😆😆😆Kuna sister yangu ameshaolewa ukimtongoza anakukubalia alafu anakuomba million 10 hiki kiunzi wajuvi ndo wanaoweza kukiruka wengi wanafail
Mim sio mdogo ni Mkubwa sanaBasi mdogo wangu lala salama😆😆😆😆
Wapi mzeya upo?🤣🤣🤣
Niko mawindoni saivi
😂 Asa itakuaje?Wanawake wanatumalizia sana pesa
Sio Kwa zama hizi maisha yamebadilikaMwanamke anaekupenda hata hela ataomba kwa ustaarabu vinginevyo hupendwi umegeuzwa chama la misaada.
Basi niseme nimejizungumzia mimi.
Ma D nakuita mara tatu kunywa soda kwanza da anguSasa hapo mbona wote wewe na huyo mwanamke mnanuka shida!?
Maana wewe ungekua hunuki usingelalamikia kumlipia kodi ya rum3 ungemnunulia kiwanja au nyumba kabisa
Halafu inawezekana kwa huyo hiyo ikawa ndio style ya kukutema
Wewe Toa piga sepa.Mpaka ufikie hatua ya kumvua chupi tayari ushapigwa vizinga hata viwili vitatu
Its true.Sasa hapo mbona wote wewe na huyo mwanamke mnanuka shida!?
Maana wewe ungekua hunuki usingelalamikia kumlipia kodi ya rum3 ungemnunulia kiwanja au nyumba kabisa
Halafu inawezekana kwa huyo hiyo ikawa ndio style ya kukutema
Hawa wanaliwaga bure mzee ,wahun tunaelewa mbona [emoji23]Kuna sister yangu ameshaolewa ukimtongoza anakukubalia alafu anakuomba million 10 hiki kiunzi wajuvi ndo wanaoweza kukiruka wengi wanafail
Mimi ni KeUliye naye wewe sio wote waki hivyo
😂😂