Wanawake wananuka shida siku hizi

kasuagatz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2021
Posts
288
Reaction score
360
Wasalam wana JF za mida hii?

Nimekuja na mada hii, siku hizi wadada wananuka shida. Yaani ukichukua tu namba yake ni kama umejitafutia matatizo, maana ile mnaanza tu mawasiliano utaambiwa na vocha ndiyo inaisha hivyo nitumie tuendelee kuwasiliana.

Hujakaa sawa mara gesi imeisha, mara kodi inaisha, mara simu imepasuka kioo, mara saloon inatakiwa elfu 50, mara viatu, mara nguo ya sherehe, unapewa majukumu mazito ndiyo kwanza umemueleza ya moyoni hata hajakubali ombi lako!

Kwa kweli ni changamoto sana, hata kama unakuwa na hela. Jamani wadada jirekebisheni hii tabia, mnaomba kama walemavu. Tunaogopa hata kuomba namba kwa visa hivi.

Juzi kuna binti jirani nimeomba namba yake akaniambia, ili nikubaliwe ombi nimnunulie simu kama ninayotumia mimi. Nina ushahidi wa mida hii, baada ya kujaribu kuchati na wadada wawili.

wadada hii tabia inakera sana, kwa tabia hizi kuolewa kwenu itakuwa changamoto.
 
Sasa hapo mbona wote wewe na huyo mwanamke mnanuka shida!?

Maana wewe ungekua hunuki usingelalamikia kumlipia kodi ya rum3 ungemnunulia kiwanja au nyumba kabisa

Halafu inawezekana kwa huyo hiyo ikawa ndio style ya kukutema
 
Unashangaa Hilo? Je Siku ukiona demu analiwa Tigo alafu analia "Ohoooo My god, Oooh jesus ".


Duuuhh Si ndo utachoka??.

By the way , Wanawake wanaona Kwa macho , vile unavyomuingia, ndivo anavyokupiga .

Habari mbaya, siku hizi binadam anamahitaji makubwa sana kuliko uwezo wake .

Hali hii imewafanya Wanawake hasa wategemezi ,wawe na wanaume wategemezi wengi.

Habari njema ni kwamba, Siku hizi pia wako open sana, mnaweza ku bargain biashara ,basiiii ukapewa Mbususu, ukatoa Hela ,kama unaona huhitaji mizinga .


Duuhh siku hizi wanaume nao wanawaonda wivu Wanawake "Kwann wanaliwa?!

Wanaume nao wameamua kutoa marinda na kupigwa paipu ...eeehheee !!.


Mambo ni mambo !!!
 
Acha kudate mademu wa hovyo hovyo
 
Daima usikatae ukiambiwa shida. Tena furahia mtu akitangaza shida zake kwako.
Hiyo ni ticket ya kumtafuna kirahisi.
Akikwambia kodi imeisha, usishtuke. Mwambie mbona ni jambo dogo tu, tukutane kesho nikupatie. Tena hapo unamtumia na 20,000 ya nauli. Kwa akili zao mbovu na tamaa zao za kijinga kesho yake atakutafuta. Mkikutana piga mbupu mpaka uchoke. Halafu mwambie nikitoka hapa tu nakutumia ule mzigo. Ndio nitolee hiyo. Na humpi hata mbuni kipande mbali ya ile 20 uliyotuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…