Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 583
Wanawake wananitumia kisha wanaondoka kwa kweli roho yangu inauma nishalala na wanawake 18🥺🥺🥺 Nina miaka 24
Mara nyingi wanajirahisisha wakitak kuzaa na Mimi
Najichukia sana 😠nimepoteza mda na rasilimali ningekua mbali kimaisha
Wakinifata nashindwa kukataa
Wadada wameniharibia maisha
Nina kazi nzuri Maendeleo 0ðŸ˜

. Nishakutana nao wengi Sana kama hao