Wanawake wananiogopa!!

pole, nazani ni vitu vya kawaida tu, watu wengi uwatokea so usizani upo pekeyako, piga moyo konde utashida ayo yote ni mapito tu.
 
sura ya wassira wadada wanamkimbilia,ww je?itakuwa story zako za mlengo wa kushoto,zilete kulia
meeeeeen
 
Ukikaa nao wewe

1. Ndio Mchumi
2. Ndio Engineer
3. Ndio Daktari
4. Ndio Mwanasiasa

Full Kuji Mwambafy
 
Sasa kama wewe upo serious all the time tabasamu ni kwa msimu wa sikukuu nani atakuzoea? Au kama huna muda wa kujichanganya na watu na kutaniana wewe mda wote unaongelea academic isues ukijitahidi sana unaongelea uchumi wa marekani what do you expect??
 
Tatzo umezubaa mno.unatakiwa ukiwa na totoz jifanye una maneno mengi sana,wapigie story za uongo uongo na zenye vichekesho uone kama wataendelea kukuogopa!
 
soma magezeti ya udaku, kuna hizo stories za mapenzi kila kukicha utapata kitu
ila utapata tu demu na mke kuna wanawake wengi wenye matamanio ya kila aina ya mwanamme. subiria na uta-enjoy mpakaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Je una dada au ndugu wa karibu wa kike? Analionaje hili? Jaribu kuwa karibu nao uone ni ishara gani zinarepell viumbe wa kike kwako. Inawezekana unatatizo sugu. ni vizuri ufikirie viumbe wa jinsia ya kike kama rafiki tuu kwanza ili kisaikolojia usiwatishe na wasikuogope. jaribu hili kwa muda halafu urudi jamvini.
 
Sasa kama wewe upo serious all the time tabasamu ni kwa msimu wa sikukuu nani atakuzoea? Au kama huna muda wa kujichanganya na watu na kutaniana wewe mda wote unaongelea academic isues ukijitahidi sana unaongelea uchumi wa marekani what do you expect??

toa ushauli tu....acheni majungu
 
Tatzo umezubaa mno.unatakiwa ukiwa na totoz jifanye una maneno mengi sana,wapigie story za uongo uongo na zenye vichekesho uone kama wataendelea kukuogopa!

Ilo neno. Izi totozz uwa zinapenda uongo mtupu kwa mfano; sema chupi yako ina mnato, una sura kama sungura, mwambie ushamwagizia gari, nyumba ipo kwenye finishing etc. Mwisho atacheka na kukwachi MASHINE uchape mwanzo mwisho.

Lastly; totozzi uwa zinapenda uwadanganye ndiyo utawapata.

Mind u; ukisema ukweli upati ata mmoja.

Pole mwenzangu ebu badilikaaa! labda unasura ya ukali kila mara kama mwanajeshi akaa!!! ebu weka picha yako kwaza halafu ntakwambia wapi unakosea mana haiwi wasicha kukuona kituko,na weye ukikasirika mtu ka mie nafa kabla hujanisogelea kwa uwoga.
 
Ilo neno. Izi totozz uwa zinapenda uongo mtupu kwa mfano; sema chupi yako ina mnato, una sura kama sungura, mwambie ushamwagizia gari, nyumba ipo kwenye finishing etc. Mwisho atacheka na kukwachi MASHINE uchape mwanzo mwisho.

Lastly; totozzi uwa zinapenda uwadanganye ndiyo utawapata.

Mind u; ukisema ukweli upati ata mmoja.

Lakini uongo nao ni kazi.............Ukishutukiwa noma ................Lazima ujipange..............Kumbukumbu lazima zikugande kichwani.

Utawadaka wengi kinoma.

Mind u; Usinitaje

Back
Top Bottom