Wanawake Wanakula Sana Mihogo


Mkuu ile ya Jang'ombe as per Bi Kidude (let her soul rest in peace)?
 
..niliambiwa na mtu Fulani Eti wadada nao wanakuwa na upungufu wa nguvu za kike...nao wanakula mihogo mibichi kama sisi..!!
 
..niliambiwa na mtu Fulani Eti wadada nao wanakuwa na upungufu wa nguvu za kike...nao wanakula mihogo mibichi kama sisi..!!

mmh na wewe un kulaga

lazma ni upungufu??
 
Ewe dada kula muhogo utauona utamu wake eeeh kula muhogo....
naimba tu!!!

Wengine wanapigana kwa sababu ya muhogoo.

Na nguo wakachaniana kwa sababu ya muhogooo. Oooh, we dada kula muhogo utauona utauona utamu wakeee, kula muhogo utaijua na ladha yakeeee......
 
Inawaongezea nguvu, hawataki kupoteza GAME, fifa hawakawii kusema wanatumia dawa za kusisimua misuli, nao wamepata tiba m'badala na usiombe ukutane nae kwa game hapo n funga nikufunge
 
Inawaongezea nguvu, hawataki kupoteza GAME, fifa hawakawii kusema wanatumia dawa za kusisimua misuli, nao wamepata tiba m'badala na usiombe ukutane nae kwa game hapo n funga nikufunge
 
hakuna madhara yatokanayo na kula mihogo kwaio sio kesi acha watu wajenge mwili
 
Kuna uhusiano gani Kati ya ulaji wa mhogo na MMU? Naomba kueleweshwa wadau...
 
Hapa nilipo nimetoka Kula mhogo ILA sijatosheka nasubiri kidogo Nile WA pili....utabaki mmoja ntaula asubuhi Sana kabla ya kupiga mswaki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…