Wanawake wanadanganya jamanii

....yaani kwa kuwa kuna wanaume wanafanya na wewe unafanya....ni mwili wao au wakwako...nakuonaga sikujua kama upo LOW kiasi hicho
I aint LOW Doc. Mwili unatoka wapi kwenye hiyo phrase yangu. Take it as it is. Dont insinuate things
 
kwamtoro! pole sana kwa maswahiba k.n.y ya familia yangu!

mapenzi safari bana, kuna vurugu na patashika.. mwelewe tu!

mwambie mshikaji pale pale aliposhika... akaze kidogo!

halafu na huyo dem, mwambie vurugu apunguze.!
 
Last edited by a moderator:
I aint LOW Doc. Mwili unatoka wapi kwenye hiyo phrase yangu. Take it as it is. Dont insinuate things
...yaani I mean according to ur comment kama mwanaume aki-cheat na wewe una cheat...sasa ndo nakuuliza hapo utakua unamuumiza yeye au unajiumiza wewe...because its ur body...au...mimi nafikiri kama mtu akikucheat wewe unafanya strategy za ku-angalia ustarabu mwingine....Mtazamo tu
 

@Kwa mtoro ni afadhali wanawake kuliko nyie wanaume, ninyi ndo mnaongoza halafu wao wanafuata. Na kwa udhaifu wao hata huyo shem wako katika hali hiyo ungeomba tu, nawe ungepata ili akudhibiti usijetoa yale uliyoyaona.
 
Growing up my stance on such things was to cheat if a man cheats.

But now as a grown woman I do not believe in playing silly games with men.

I totally agree with your perception but unfortunately not everyone else does.
 

Mkuu mwokoe rafiki yako, mwambie ukweli,Wanawake ni waongo haswa.Umesahau uongo wa Eva kwa Adam?
 
Kwani wanaume ndio wakweli????

Mtupishe hukooo, wakati mnatupanga kama nyanya sokoni mnadhani sie mambulula eeeh???
 
Hivi mnafikiri atamwambia rafiki yake huyo jamaa wakati alipigwa ofa kibao tu!!Siajabu na nauli ya bajaji alipewa!!
 
Na kilichokuja kuongeza zaidi uongo ni hii teknolojia ya simu za mkononi. Mtu anakuwa Kibaha anabanjua amri ya sita ukimpigia anakwambia wana kikao cha ukoo kwa baba mdogo kinondoni!!

Mbona huko mbali
Hata akiwa kwa jirani atakwambia yuko mtaa wa kumi
 

Mkuu, ndio zao hizo.
 
wewe huoni matangazo ya michepuko noma mengi ni ya wanawake wakichepuka,naona hii kutokana na utafiti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…