Wanawake wana roho mbaya sana


Tatizo lako mkuu unachagua verses that best fit your interests! Mbona Saul (Paulo)
humtaji? Huyu aliteketeza wanaume kibao! Herode aliteketeza vitoto vyote
Vichanga vya ki- Ebrania. Saul, Herode, Pharaoh, Kaini, na wengine wengi, je hawa nao pia ni wanawake?


Acha kuwa biased upande mmoja
 
what i can say is the same, wanawake wana roho mbaya sana.

Mmmh,i wish mama zako wangeiona hii sentence..wewe ni kati ya viumbe wazito wasiojua hata kumshukuru mungu kwakuletwa hapa duniani...hum-appreciate hata mama yako mzazi. Angekuwa na roho mbaya si angekuflash chooni au angekunywea muarobaini ukafa..
Na kama una madada wanalipi baya walilokutendea?? Au una psychological problem..labda umekua kama chokoraa mpka ukaokotwa na mzungu akakulea mpk sasa..Labda katika ukuaji wako hukuwahi ku-experience uwepo wa mama au dada katika maisha yako...otherwise usingesema huo utumbo.
 
Hate them or love them......maandiko yanasema tuishi nao kwa busara sanaaaaa
 
Tena kama nyie mlioenda enda shule ndo mna roho mbaya sana. Mnajifanya hamu entertain mambo ya extended family. Hivi unafikiri ulivyonikuta mimi nina kagari na kaofisi unadhani nilidondoka toka mbinguni? leo hutaki kaka zangu wala nani

sasa si uwaoe hao kaka zako ili kuepusha ugomvi. Unaoa mwanamke wa kazi gani kama atakuletea stress!
 

naunga mkono hoja
 
Mkuu kama unagari na ofisi acha ku ringisha
Basi ..

We unamatatizo yako binafsi unamletea kila mtu .
si useme tu nini kulikoni upewe ushauri kuliko kumwangukia kila mwanamke ..

dah!! ni kweli mambo binafsi anaya generelaizi
 

Mwanamke ana upendo wa dhati kwa watoto aliowazaa na wazazi wake...kwingine kote ni maigizo
 
Kwani Mamio ALIKUTELEKEZA? basi hata kama alikutelekeza? Shangazi nae alikukana kuwa wewe si mwana wa kaka yake ? mbona umetudhalilisha hivi ? Mbona hata katika vitabu vya dini vinaonesha Mama kama mwanamke ana huruma sana ndugu yangu ?

Mama yako alokuweka mienzi tisa tumboni leo amekuwa na ROHO mbaya ? akakulea kwa tabu huku unalia usiku kutaka kunyonya ! unaumwa yeye anaamka kukubembeleza kukunyonyesha ulale wakati baba NAKURUZA hata habari hana ! leo MAMA UNAMUWEKA KATIKA CATEGORY HII YA WENYE ROHO MBAYA ? ama kweli !
 
Mmmmh!hii midomo hii?
hivi unatabua humu umemzalilisha hata mama yako na mpnz/mkeo wako?

Wanawake tumeumbiwa moyo unaostahimili mengi na haya tushakusamehe!!!!
 

100% true, haya maneno...!!!
 
Signs & symptoms of Schizophrenia are here : DELUTIONS (illogical or bizarre ideas or fantasies), HALLUCINATIONS (sounds in person's mind), DISORGANIZED SPEECH (fragmented thinking, DISORGANISED BEHAVIOUR & NEGATIVE SYMPTOMS. If symptoms persists seek medical advice.
 
There is wise woman outthere, kila siku anasema huu uzazi wa kiume ni mbaya sana.

-Ukizaa mwanaume umemzalia mwanamke mwenzio (mkewe), for sure he will not take all the orders na yuko tayari kumtosa mamake kwa ajili ya huyo mwanamke.
-Mwanamme akiwa m-senge ndio uzazi umekwenda si sawa na mwanamke msagaji
-Immunity yao ni dhaifu, sana ndio maana wanakufa mapema
-Wanafikiri wana uwezo mkubwa wa kutawala dunia, indirectly hawajui kuwa wao wenyeji wametawaliwa nyumbani and take orders too which makes woman control his decision.

Baada ya kusoma huu uzi hapa, I am starting to believe this woman is full of wisom..
 

Huyo hakuflashiwa bali alitupwa kituo cha yatima ndio hasira zote hizo......
 
'wanted to arouse female hormones.
succeeded.

not yet atleast for me! Nimegundua for sure mtu mzima mwenye akili zake hawezi kutoa generalization kama hiyo... Ni kutaka ku provoke wanawake mapovu yatutoke bila sababu...
Si kila anayeishi na mtoto wa kambo namtesa..
Si kila anayeishi na house ana mtreat vibaya n.k
So, to hell with his theory!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…