God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
- Thread starter
- #21
Ndio unifundishe sasa mkuu na sio kutoa kashfa tuu juu ya utoto wanguUtoto unakusumbua ukiwa beberu utaacha..jifunze kupitia Samson na Delila
Ndio unifundishe sasa mkuu na sio kutoa kashfa tuu juu ya utoto wanguUtoto unakusumbua ukiwa beberu utaacha..jifunze kupitia Samson na Delila
unaenda wapNapita.......................
hukulazimishwa uutazame kama vipi kakojoe ukalale mimi najifunza mambo humuMwambie Mod afute huu uzi ili uanze upya
mtaa wa pili tu hapounaenda wap
jifunze kua unapowasilisha kitu lazima uwe umefanya utafiti Acha kua zuzu mkuu,fanya utafiti ndo ujehukulazimishwa uutazame kama vipi kakojoe ukalale mimi najifunza mambo humu
duuAcha ww bifu la wanawake ndo kiboko tena sababu ni kitu chakipuuzi yaani kamba yakuanika nguo inaweza leta bifu la hatari bora cc man mambo mengine tunapotezea tu
kwa kweli vipi bifu lenu"hatujaribiwi"
Sijafanikiwa kuona hizi mechi ila poa mimi mdogo sijajua mambo kibaoHapo kwenye bold / red
Dogo kumbe bado kinda ...
Binafsi niliwahi kusababisha mademu wawili kupigana ... enzi za ujana wangu ...
Ilikuwa hivi ... nilompenda alikuwa na rafiki yake ambaye walikuwa wameshibana sana na kujuana kiundani...
Huyo rafiki mtu akanieleza kwamba nimpendaye ni mwathirika wa HIV ...
Hilo likanipelekea kuhamisha penzi kwa mtoa taarifa baada ya yeye kuamini kwamba sijatembea na huyo mwadhirika ...
Mwathirika alipojua .. zilipigwa hadi ikawa gumzo mtaani (Uswahilini Bukoba mjini)
Kwani hujui, mpaka wanalogana wanakuwa matahira kabisa sasa hapo si afadhali kufa kabisahahahah wanauana kwani? au kuwekeana chuki ya milele kama wanaume wanavyofanya
nijuzeKwani hujui, mpaka wanalogana wanakuwa matahira kabisa sasa hapo si afadhali kufa kabisa
Ndo nshakujuza, kwetu ukijichanganya na kibamia cha wenyewe ni msuto halafu baada ya siku mbili tunakukuta majalalaninijuze
sawaNdo nshakujuza, kwetu ukijichanganya na kibamia cha wenyewe ni msuto halafu baada ya siku mbili tunakukuta majalalani
Karibu sana...nina barua ya maombi naomba ntume kwako
wahakiki wameenda nje kusoma..? au vijana weng wametuma maombi.??Karibu sana...
Ila ndo uwe na subira mana majibu yatachukua muda kdg
Kwani mombasa,wanawake ndo hawapiganii wanaume?mombasa mkuu
Yah..wahakiki wameenda nje kusoma..? au vijana weng wametuma maombi.??
Fanya kwakujuana ,hao wengne cv zao weka kwenye dustbinYah..
Maombi ni mengi, sasa mpk nimalize kupitia barua zote ndo nitoe majibu itachukua muda