God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
...
ameonekana kabisa utafiti hakuna hapoSio nguvu ya mwanamke ni nguvu ya mapenzi kwa wale wanaoamini kuna mapenzi. Halafu mbona wanawake wanapigana sana sababu ya wanaume, we sijui utakuwa wapi, huku kwetu wiki haiishi tunashuhudia ngumi na msuto wa wanawake wakigombea kibamia
Umeonaeee, watu humu ni watafiti mpaka wanapitilizaameonekana kabisa utafiti hakuna hapo
hahahaaaa na basi la mwendokasiNapita.......................
Unaishi dunia gani wewe?Mbona sijawahi kusikia wanawake wakibondana wenyewe kwa wenyewe kumgombania mwanaume?
Hujapata wa kukukoleza.Mimi ndio Maana huwa nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele...
DAWA ya mwanamke ni moja tu, GONGA sana mpige chini sepa mbele...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
nina barua ya maombi naomba ntume kwakoUnaishi dunia gani wewe?
Hapo kwenye bold / redHawa wanawake wana nguvu gani jamani?
Mbona sijawahi kusikia wanawake wakibondana wenyewe kwa wenyewe kumgombania mwanaume?
Mbona sijawahi kusikia wamewekeana chuki au kuuana kabisa kwa sababu ya mwanaume?
Basi kwa maana hiyo wao ni powerful kushinda sisi na ndio maana hawafanyi wanayofanya wanaume wenzangu.
Nawasilisha
hahahah wanauana kwani? au kuwekeana chuki ya milele kama wanaume wanavyofanyaSio nguvu ya mwanamke ni nguvu ya mapenzi kwa wale wanaoamini kuna mapenzi. Halafu mbona wanawake wanapigana sana sababu ya wanaume, we sijui utakuwa wapi, huku kwetu wiki haiishi tunashuhudia ngumi na msuto wa wanawake wakigombea kibamia