Miaka 60 inatosha sana kuwa Na tume huru ya uchaguzi, katiba inayotokana Na watu, Uhuru wa habari Na wakisiasa. Miaka 60 ni michache sana kwa wanawake kuona wamechelewa sana. Kifupi tufanye utafiti ili kuona kama ni kweli miaka 60 ni michache sana kuwa Na demokrasia inayokubalika kwa vyama Na watu wote, ama ni mingi sana kwa wanawake kuwa hivyo walivyo sasa.Wao wazungu ni wajanja. Wanatuletea mambo meusi ili tuzidi kuwa masikini. Mambo ya 50/50 ni upumbavu. Watu wapewe uongozi kulingana na uwezo walionao haijalishi jinsia.
Mfano wanawake wamejazana bungeni kwa mgongo wa 50/50 na hawana impact yoyote zaidi ya kutuchelewesha. Wafanye kazi wenye uwezo nazo sio kujazana bungeni kama kwaya ya wasabato.
Tujiulize maswali wenyewe ni kwanini mataifa makubwa yenye uchumi mkubwa Na ustaarabu wa miaka mingi kama vile Uingereza, Marekani, France, German, Uchina, Urusi, Spain, Saudi Arabia, Dubai, nk hawajafika mbali sana kwenye 50/50? Kwanini Tanzania maskini Na miaka 60 tu inaonekana kama mama, bibi, shangazi, dada, Na watoto zetu hatuwapendi, tunawaonea, Na kuwanyima kila kitu?Kuwa na Kiongozi Mwanamke ni dalili za sikuza mwisho.
Wanawake kutembea Uchi,Fashion shows ni dalili ya zama za mwisho.
Wanawake kudai talaka na kzaa na wanaume bila kuolewa ni dalili ya zama za Mwisho.
Kudai Haki sawa na wanaume katika mirathi ,ajira, na mengineyo ni dalili ya zama za mwisho.
MWISHO NDIO HUU UMESHADHIRI
TUNGOJE KUREJEA KWA YESU
NA JUA KUCHOMOZA UPANDE WA MAGHARIBI
Tunatafuta sifa itakayotutafuna Kwa muda mrefu sana,na kama kawaida hatutajua tatizo limeanzia wapi.Tujiulize maswali wenyewe ni kwanini mataifa makubwa yenye uchumi mkubwa Na ustaarabu wa miaka mingi kama vile Uingereza, Marekani, France, German, Uchina, Urusi, Spain, Saudi Arabia, Dubai, nk hawajafika mbali sana kwenye 50/50? Kwanini Tanzania maskini Na miaka 60 tu inaonekana kama mama, bibi, shangazi, dada, Na watoto zetu hatuwapendi, tunawaonea, Na kuwanyima kila kitu?
Tatizo kubwa linakuja, tujiandae nalo.
Wanawake tuliolazimisha wawe wabungeTunatafuta sifa itakayotutafuna Kwa muda mrefu sana,na kama kawaida hatutajua tatizo limeanzia wapi.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kama tunaamua kukimbia basi tukimbie hata kwenye mambo yetu yote yakiwemo yale ya haki za watu, utawala bora, demokrasia, na wanawake. Sio tuwe navrangi mbili kama kidonge kwa tetracycline, upande tuko miaka 60 na upande tuko miaka 300.Tunatafuta sifa itakayotutafuna Kwa muda mrefu sana,na kama kawaida hatutajua tatizo limeanzia wapi.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hatuna muda wa kujiuliza ni kwanini mataifa makubwa yote duniani kote yanakwenda mwendo wa kinyonga kwenye haki za wanawake wakati wao wamesoma sana na wameendelea sana na wana demokrasia pana na wana mahakama imara na wanawake wengi wamesoma sana?Hili swala umeongea hapa ni swala mtambuka na fikirishi sana. Ni kama mbinu mkakati ya mataifa ya nje katika kutudhoofisha kiintelijensia.
Naona kama sasa hivi mdororo wa uchumi umeongezeka na ufanisi wa kiutendaji serikalini umezidi kushuka kwa kasi sana sababu ya ongezeko la watendaji wasio na umeme unaotakiwa kuweka mambo sawa.
Familia kwasasa sio tena nguzo imara ya taifa sababu hakuna akina mama kwenye familia bali kuna wanawake kwenye familia. Familia hazipo imara tena kama miaka ile ya awali bali familia zimekuwa ni changamoto.
Pesa nyingi inakwenda kuratibisha haya maswala ya kijinsia ya kike ambayo hupewa majina mbali mbali ya kiupendeleo.
Tanzania na mifumo yake wanalenga nini siku zijazo?! Hadi sasa tufanye tathimini kama hii miaka 60 ya kupigia domo na kukurukakara hizi ajenda za kijinsia tumepata mafanikio gani na hasara gani!
Kuna ukakasi mwingi sana kwenye hili jambo ......!
Utakuta ni mbunge wa viti maalumu bungeni lakini wanawake wa kibila lake hawamiliki ardhi kwao, ni wakimbizi. Anasaidia nini sasa huko bungeni na kwenye kabila.Viti maalum vya ubunge vifutwe, wabunge wote wapatikane kwa kupigiwa kura na wananchi. Nchi inaingia gharama kubwa kuwa na idadi kubwa ya viongozi wasiongeza tija yoyote.
Toa mfano.Msichoelewa ni kuwa hao wanawake mnaopigia makelele ni sehemu ya mpango wa wafadhili na lengo kubwa hasa ni kuweza ku penetrate na kujichotea rasilimali tu. Wanajua mtavurugana tu mnyukano wenu wao kwao ni furaha maana kutakuwa na less supervision.
Dalili zinaonesha dili mbovu nyingi zitafanyika chini ya utawala huu and trust me ni dhahiri ufanisi wa kitendaji umeshuka sana katika kipindi kifupi tu toka tufanye transition toka kwa JPM. Najua mashabiki mandazi wa mama mtakuja kunishambulia ila vitu viko dhahiri kwenye ground za kitaa.
Mfano gani unaotaka mkuu?Toa mfano.
Kule Marekani mpaka leo hii kazi moja hiyohoyo mwanaume anapata mshahara mkubwa kuliko mwanaume. Nikamuuliza mtu kwanini iwe hivyo, akaniambia hata ufanye nini kwa siku 30 za mwezi kuna masaa mengi ya kazi ambayo mwanamke atayatumia kwa kazi/shida zake binafsi na familia na muda ataomba msaada au ushauri kutoka kwa mwanaume ili kufanikisha kazi za mwajili wake.Viti maalum vya ubunge vifutwe, wabunge wote wapatikane kwa kupigiwa kura na wananchi. Nchi inaingia gharama kubwa kuwa na idadi kubwa ya viongozi wasiongeza tija yoyote.
Hiyo kweli, 87% ya watoto waliosoma na kumaliza vyuo vikuu vizuri ni watoto wa baba wakali sana.Mfano gani unaotaka mkuu?
Kama msimamizi wa nidhamu ataamua kubembeleza wanafunzi wachomekee mashati badala ya ku impose adhabu kali kwa ambaye hatachomekea unatarajia mabadiliko ya tabia kweli?
“Tufanye kazi jamani sote ni watu wazima hamna haja ya kutumbuana.”
Umwambie mfanyakazi wa kitanzania hivi unatarajia mabadiliko kweli?
Na sikuzote baba huonekana katili hadi pale utapofanikiwa ndio utaona kumbe mzee alikuwa jembe.Hiyo kweli, 87% ya watoto waliosoma na kumaliza vyuo vikuu vizuri ni watoto wa baba wakali sana.