STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,599
Pole mkuu sasa tuelezee jinsi ulivyokula tunda kimasihara kwa mtoto wa singida maana wiki tu ukapewa?hapa najua wadau wa kimasihara watakubaliana na mimi kuwa wewe ni memba
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuPole sana mkuu, mshukuru Mungu umegundua mapema na kuumizwa moyo tu, you can recover from that.
Wanawake wako wengi na Mungu atakuletea yule mtakaependana kwa dhati kwani ulikuwa na nia njema.
We jamaa unazania ndom inavaliwa kirahisirahisi mwaka mzima utamgonga demu kwa ndomuHivi ulikuwa unamtafuna kwa kutumia ndomu au ulikuwa unaloweka tu kipindi chote hicho cha mwaka mzima?
With that being said,,pole sana..it's really hurts kuachwa na mwanamke uliyekuwa unampenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli yaan alivyo mpole huyu binti huwezi kumdhania kabisa...daaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ulikuwa unamtafuna kwa kutumia ndomu au ulikuwa unaloweka tu kipindi chote hicho cha mwaka mzima?
With that being said,,pole sana..it's really hurts kuachwa na mwanamke uliyekuwa unampenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli
Ndio hapo ushangae mkuu....mm na huyu demu ilkuwa Kama mke na mume tuWe jamaa unazania ndom inavaliwa kirahisirahisi mwaka mzima utamgonga demu kwa ndomu
Kanuni za kuish na mwanamke
1. Usimpe moyo mwanamke, mpe hela na dudu.
2. Zingatia kanuni namba moja.
Thank me later!
N kweli mkuuBrother nahisi ulikuwa tayari hata kumlipia ada, lakini kiukweli mademu wa chuo wote wanajifanya wapo single lakini wana wapenzi na wengine wake za watu kabisa so jambo la msingi piga mkuyenge angalia mambo yako basi.
Sent using Jamii Forums mobile app