Sio wanawake ila binadamu yoyote yule bro..
Kwenye mapenzi na Pesa ni binadamu wachache wapo loyal mkuu, watu wanaangalia interests zao tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali protokali brotherNaam uko sahihi... ndio maana katika para ya mwisho nilimalizia kwa,kusema kwamba hata wanaume wasaliti tupo...ila kwa topic inawahusu wanawake basi nitajikita kwa wanawake zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Niko kwenye process.....soon tu napata chombo mpyaSawa mkuu ila si upo Dsm? We ingia zako kariakoo, mwenge, makumbusho au m-city ukajiopolee mtoto mzuri mitaa hio usiumize kichwa sana blaza...kama vipi kesho kanunue jeans kali, t shirt na mashati makali na timberland boots au sneakers za kinyamwezi halafu wikend unaibuma zako mitaa hio au hata ufukweni mwa bahari upate mtoto mpya akukeep busy..mzee..
Mapenzi nitafanya sjui niseme ngono nitafanya ila sitakuwa mwaminifu Tena Kama nilivyokuwa kwa huyu binti
Yaan acha tu...unahisi moyo unachomokaMaumivu yake yalikuwaje apo kwa conference call
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ameen mtumishikwa sasa heri ukatafute tu shamba ulime ukitoka huko umechoka usome Biblia kisha ukalale tu wanawake ni watu wa ovyo kabisa yaani hakuna mwanamke asiye na wapenzi wawili kuendelea ukimpata uyo basi chonga kibanda tu umfiche zaidi na pia nakupa msemo wa shem wangu
"WANAWAKE WOTE HUGAWA UCHI WAO POPOTE " Kwa hivyo usiwaweke kichwani hata kama wanakutendea maajabu
Kuna kipindi huwa kinafika mtu unakuwa kwenye relationship sio kwa sababu ya uchi Tena Bali mipango ya baadae na binti wa watu...Sasa ukigundua madudu Kama haya ndio unaumia Sasa maana hukumpendea uchi tuMi nikipewa uch* nikaachwa huwa sijutii,si nakuwa nimeshatafuna tyunda
Namm nashukuru nimeona saiv....n afadhari kuvunja uchumba kulko kuingia ndoa na mtu wa namna hiiDogo kuumizwa katika mapenzi ni sehemu tu ya maisha wala usikae ukijutia liliotokea...
Huwa ni vizuri mtu asiyekufaa akaachana nawe mapema, kuliko aje kukusumbua kwenye ndoa maana hakuna rangi utaacha ona...
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaHalafu eti unampenda kabisa mnyaturu....
Hivi unawajua vizuri wanawake wanaotoka singida..Aisee muwage mnaulizaga basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli...niimuuliza kwann kamsamehe akasema binti n wife material....et hata binti akiwa likizo hufanya mchezo wa kwenda kwa jamaa na zawadi Kama mchele n.k....hvyo hawezi kumwacha wife material Kama huyo...
Hii ni kweli mkuuPole aisee yaani mapenzi ya cku hizi ni timing!
Usiingie miguu yote miwili ukajisahau ukadhani uko peke utaumia zaidi ukiujua ukweli!
Mie huwa najiuliza kama mke wa tajiri mwenye kila kitu anatombwa sembuse demu wa maskini mimi kwa nini nisitombewe?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuTafuta mwanamke mwenye bikra. Weka relationship naye.
Mkuu hutokujajuta. Utanishukuru Baadae.
kumbuka; Usioe mwanamke asiye na bikra. Miaka mia huyo sio mke bali ni Malaya.
Waliochukua wanawake bikra wananielewa nazungumzia nini. Lakini hao kina kibwangai watabisha
Maumivu yake yalikuwaje apo kwa conference call
Sent from my iPhone using JamiiForums