Wanawake wamenishinda jamani


Daaaah!!!......Nimekupenda bure!!.....Mimi nitafutie mwenye chura la maana please![emoji1]
 
Shule zimeshafunguliwa au bado wakuu
 
Ulichonifurahisha umekiri WAZIWAZI kabisa kwamba daah master inakusave saaaanaaasaaana[emoji23] [emoji23] [emoji23],sasa kama unajua kabisa utamu unao mwenyewe kwa wadada unafuta utelezi tu yanini kujisumbua mkuu!?wacha maneno kula master
 
Dogo acha kuendekeza papuchi wewe chapa kazi madem watajileta wenyewe.
 
24?ulitakiwa uwe shule
 
Hii mitoto inakera, ujinga gani huu, peleka huko kwenye magroup yenu ya whatsapp...
kweli kabisa ila nimecheka sana thread yake sitaki kusema uongo. vitoto humu vimezidi jaman.
 
Tatizo lako hujui kutongoza,hujiamini na kwa halo hiyo jiandae kuliwa hela zako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…