Izi lugha za picha izi
Sijaelewa
kuna siku tutaweka walinzi kulinda mashamba yetu, manake watakuwa wakipita shambani tu wanasababisha uharibifu mkubwa kwenye mazao haya. achilia mbali matango, ndizi/plantain na viazi mbatata.Wacha movie iendelee..........
tuweke ile dawa ya kunata[emoji23] [emoji23]kuna siku tutaweka walinzi kulinda mashamba yetu, manake watakuwa wakipita shambani tu wanasababisha uharibifu mkubwa kwenye mazao haya. achilia mbali matango, ndizi/plantain na viazi mbatata.
Sisi tunaita OPTICAL NUTRITIONkula kwa macho
Jina nzuri [emoji39]Sisi tunaita OPTICAL NUTRITION
Nami nije.??Waongo hao rafiki
Ebu twende pm ukapropozi kwanza
Maji huwa hayavutiki kama mlenda my dia!ssa mbona huo mhindi unadosha maji! mwe! alikuwa na maji kiasi gani huyo?!!!!