Wanawake waliozoea kuachwa na wapenzi

Wanawake waliozoea kuachwa na wapenzi

Naona idadi ya wanaume inapungua na wavulana kuongezeka, muda wote ni kulalama tu hii siyo tabia ya mwanaume, mwanaume akiudhiwa anaguna tu halafu anaondoka akirudi yameisha anapata kimoja cha faster cha raha basi vikojoleo vikuungana tena hapo kuna ugomvi utoke wapi? Huu ndo uanaume siyo haya mnayoyafanya nyie
🙁🙁🙁
 
Aisee, kupigana chini kwa vijana ni kitu cha kawaida sana. Imagine mtu amepitia mahusiano 5+ hadi kufikia kuoa/kuolewa. Lazima kuacha na kuachwa vitahusika tu.

Nafahamu vijana wanawapiga sana chini mabinti, tena wengine wanajisifia. Ila mimi nawashangaa. Labda umri wangu ndio unanifanya niwe nashangaa binti kupigwa chini
 
Naona idadi ya wanaume inapungua na wavulana kuongezeka, muda wote ni kulalama tu hii siyo tabia ya mwanaume, mwanaume akiudhiwa anaguna tu halafu anaondoka akirudi yameisha anapata kimoja cha faster cha raha basi vikojoleo vikuungana tena hapo kuna ugomvi utoke wapi? Huu ndo uanaume siyo haya mnayoyafanya nyie
Hii comment ni bora kabisa kwa mwaka huu. asante mrembo mwenye aibu.
 
Naona idadi ya wanaume inapungua na wavulana kuongezeka, muda wote ni kulalama tu hii siyo tabia ya mwanaume, mwanaume akiudhiwa anaguna tu halafu anaondoka akirudi yameisha anapata kimoja cha faster cha raha basi vikojoleo vikuungana tena hapo kuna ugomvi utoke wapi? Huu ndo uanaume siyo haya mnayoyafanya nyie
You sound cleaver..
 
Ni kweli kabisa mm hadi naogopa uhusiano yan naona hamna jipya ntakalokutana nalo uwiii. Mungu atusaidie kuondokana na hii dhamira
 
Pole mkuu.
Inabidi ujifunze kusahau yaliyopita.
 
Back
Top Bottom