ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
- Thread starter
- #21
Kwahiyo kuolewa ndiyo basi tena[emoji23]kweli kabisa siamini kama kuna mtu ananipenda hata aniambie nini
nashindwa kabisa kuwa na mpenzi natamani nipate tu lizee yaani vijana wenzangu siwaamini kabisa