Wanawake walioolewa

Mathematical

Senior Member
Nov 8, 2010
120
43
Hivi kwanini wanawake ukishawaoa huwa hawajitumi tena...hata mechi kupewa unapewa kwa machale sana mtu unakata mpaka wiki 3 mwanamke hajakupa papuchi....seriouly mbona wanazingua sana ..acha tupige nje tu.
 
Ila huyohuyo akiwa na mchepuko kule yupo active sana tena akiitwa anakimbia mbio...Hao ndiyo Wanawake Cha ndani kibaya ila Cha nje Kitamuu
 
Hivi kwanini wanawake ukishawaoa huwa hawajitumi tena...hata mechi kupewa unapewa kwa machale sana mtu unakata mpaka wiki 3 mwanamke hajakupa papuchi....seriouly mbona wanazingua sana ..acha tupige nje tu.
Ulishakaa na kuongea nae haya na akakupa sababu zake?
 
Pole sana...
Kabla ya kumua mapenzi yote yanakuwa kwako, wananyenyekea ndoa... Wakishaolewa zamu yako imeishia, ananyenyekewa mwingine...

Cc: mahondaw
 
Mkeo ni wa Mbeya Mkuu?
tapatalk_1484426323106.jpeg

Mkuu....
Naomba usiniite mchochezi...
 
Back
Top Bottom