Kwa nini na wewe usiolewe bhana ili ujue inakuwaje?Hii observation nimeifanya ofisini, kwenye sherehe, hata mtaani.
Wanawake walioolewa wanajiamini sana ukilinganisha na wasioolewa. Nadhani wengi mtapingana na hili ila hapa siongelei kujichetua, bali naongelea ile confidence inayotokea ndani.
Ukiwakuta mahala wanakuwa very free, hawaogopi kufanya vitu. Hata wakiongea na mtu au kujielezea hawana kupepesa macho wala kutazama chini kwa uoga au aibu. Wako huru kuliko.
Ukienda harusini au kwenye sherehe yoyote angalia wadada/wamama walioolewa. Wanacheza kwa uhuru, wakiitwa mbele ya kadamnasi kujieleza wako vizuri na hufanya hivyo kiufasaha. Wasioolewa mara nyingi huwa wakijishtukia sana, sijui kwanini.
Maswali ninayojiuliza ni:
1. Wanakuwa huru kwakuwa wameolewa hivyo wanaamini wamepanda thamani kwenye jamii na wako kundi lenye "heshima"?
2. Wanakuwa huru kwakuwa hawana cha kuonea aibu tena kutokana na kuweza kuishi pika pakua na mwanaume na kushare kila kitu au kuoneshana kila kitu?
Nawasilisha.
Whats up with personally attacking me?....Una uhakika sijaolewa?Wewe ambaye hujaolewa kazima ujishtukie kwasababu bado unatafuta au unae ila unabembeleza kuolewa. Mpenzi wako asikuone kicheche akakupiga chini.
Alieolewa hana cha kupoteza. Tayari ameshafikia ndoto alokuwa anaitaka. Haogopi kitu, habembelezi ndoa tena.
Pia, kuna umri ukifika lazima unakuwa uwe na furaha au ujisikie free tu hata kama huna sababu za msingi.
Hii observation nimeifanya ofisini, kwenye sherehe, hata mtaani.
Wanawake walioolewa wanajiamini sana ukilinganisha na wasioolewa. Nadhani wengi mtapingana na hili ila hapa siongelei kujichetua, bali naongelea ile confidence inayotokea ndani.
Ukiwakuta mahala wanakuwa very free, hawaogopi kufanya vitu. Hata wakiongea na mtu au kujielezea hawana kupepesa macho wala kutazama chini kwa uoga au aibu. Wako huru kuliko.
Ukienda harusini au kwenye sherehe yoyote angalia wadada/wamama walioolewa. Wanacheza kwa uhuru, wakiitwa mbele ya kadamnasi kujieleza wako vizuri na hufanya hivyo kiufasaha. Wasioolewa mara nyingi huwa wakijishtukia sana, sijui kwanini.
Maswali ninayojiuliza ni:
1. Wanakuwa huru kwakuwa wameolewa hivyo wanaamini wamepanda thamani kwenye jamii na wako kundi lenye "heshima"?
2. Wanakuwa huru kwakuwa hawana cha kuonea aibu tena kutokana na kuweza kuishi pika pakua na mwanaume na kushare kila kitu au kuoneshana kila kitu?
Nawasilisha.
Hapo umenena mrembo,maana nilikuwa nakuwania siku nyingi saaana Queen Victoria,haya lete michapo ili tupembue au vipi?Nioe basi mkuu.....
Maneno kama Hayo Ayatamke Jambazi Aliekushikia SMG... utaomba Yesu Atende muujiza..Hakuna cha kupoteza...
Hii ndio siri kubwa