simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 379
Mimi Mwenyewe Huwa Nawapenda Sana Ile Mmekubaliana Mkutane Sehem Anavulia Kyupi Nyumbani Kwao, Sio Hawa Dogodogo Anakuja Amevaa Vyup Viwili, Tait, Mbili Suluali Kakaza Na Mkanda, Kaazima Na Katoto Ka Jirani Ndio Anakuja Et Unasemaje?
Aah wapi atoto mwenyewe ashakuona liability kakutosa teh
Hahhahaha ndiyo liabilitySlaa katuletea shida liability?
mmmh! @swtlo
mada kama hii uiletage week end mweeh! sasa hapa unataka niseme nini jamani????
Lakini naomba niongeze kitu hapo, kwamba uliyosema ni kweli kabisa hilo halina upinzani ila tu kuna jambo moja umesahau ama napenda niliongezee hapo.
itatokea akafurahia zaid tendo la ndoa/ngono iwapo hana any external disturbing factor like, asiwe hajaolewa na ana crive for getting married, asiwe hajapa mtoto and anatamani kweli kupata mtoto mambo haya mawili nimiongoni mwa factors ambazo huwafanya wanawake wa umri huo kushindwa kufurahia but kama hapo kavuka ukweli huwa anafaidi sana kunako 6*6.
Jitumbukize mikosi ikuandame, utaanza kula mihogo soon! Huoni everlenk kiranga chote kimemuisha, sahivi hata mb 8 tu za kuingia huku hana.
Ooh Lord maskini dada angu. Kumbe ndo maana simuoni khaa. Nahisi alichanganyikiwa na usmart wa brod. Chezea kijana wa kisabato full kuchomekea, kiatu kinang'aa as if anaenda kujitambulisha kwa wakwe.. akajua kaopoa kumbe kaopolewa. Mie nimetoka chepo hivi kumkemea huyo Eli79 asinifuatilie milele. Mihogo nimeichoka tangu utotoni jamani akhuuuu
Hahahhah naona baada ya kumsema ndo kaona aibu akakuungia bundle la jero ili tu mtuprove wrong hehhehehehe hatudanganyiki. wewe ulijua usmart wa mumeo ni wa bure, na kanisani hamuendagi au? By the way nilikumiss sana my dada, hope na kesho utakuwa na bundleUwiiii!!!! atoto mi nipo sana tu tena Sana tu si unajua ligi imeanza majeshi nimehamishia kule, mi na Elli79 hatuachani milele, Heaven Sent usiniambie Elli ni Msabato? Uwiiii tumekutana kimjini mjini na tunaishi kimjini mjini......duhh!!!!
Uwiiii!!!! atoto mi nipo sana tu tena Sana tu si unajua ligi imeanza majeshi nimehamishia kule, mi na Eli79 hatuachani milele, Heaven Sent usiniambie Elli ni Msabato? Uwiiii tumekutana kimjini mjini na tunaishi kimjini mjini......duhh!!!!
Hahahhah naona baada ya kumsema ndo kaona aibu akakuungia bundle la jero ili tu mtuprove wrong hehhehehehe hatudanganyiki. wewe ulijua usmart wa mumeo ni wa bure, na kanksani hamuendagi au? By the way nilikumiss sana my dada, hope na kesho utakuwa na bundle
Hahhahaa hapana chezea liability ya kipareYaani hata mume hujui anakosali!! Kweli hii ndoa iko mashakani, hongera naona uko katika safari ya matumaini kama yule mbabu.
Alitoe wapi? Watasingizia sabato imeshaingia, yaani hiyo ni ile ya "machoni nacheka,moyoni nalia"
Uwiiii!!!! atoto mi nipo sana tu tena Sana tu si unajua ligi imeanza majeshi nimehamishia kule, mi na Eli79 hatuachani milele, Heaven Sent usiniambie Elli ni Msabato? Uwiiii tumekutana kimjini mjini na tunaishi kimjini mjini......duhh!!!!
atoto na Heaven Sent naona leo mmeamua. Lakini najua haya ni mahaba tu..msiwe na wivu kwa everlenk wangu!!!
Hahahhah naona baada ya kumsema ndo kaona aibu akakuungia bundle la jero ili tu mtuprove wrong hehhehehehe hatudanganyiki. wewe ulijua usmart wa mumeo ni wa bure, na kanisani hamuendagi au? By the way nilikumiss sana my dada, hope na kesho utakuwa na bundle
Mume wangu Eli79 ananiwekea bundle la mwezi tena la bila kikomo natumia mpaka basi, mume wangu habishani. Asante mdogo wangu nilikumiss mimi pia...Hahahhah naona baada ya kumsema ndo kaona aibu akakuungia bundle la jero ili tu mtuprove wrong hehhehehehe hatudanganyiki. wewe ulijua usmart wa mumeo ni wa bure, na kanisani hamuendagi au? By the way nilikumiss sana my dada, hope na kesho utakuwa na bundle
Yaani hata mume hujui anakosali!! Kweli hii ndoa iko mashakani, hongera naona uko katika safari ya matumaini kama yule mbabu.