Wanawake walioko kwenye 30s

Wanawake walioko kwenye 30s

Mume wangu Eli79 ananiwekea bundle la mwezi tena la bila kikomo natumia mpaka basi, mume wangu habishani. Asante mdogo wangu nilikumiss mimi pia...

Ndoa yetu ni ya mkataba kuna mambo ya muungano na kuna mambo ambayo si ya muungano,kama hili la kusali si la muungano.......lol
Hahahhaah akikuungia bundle la mwezi, atafunga kula mwezi mzima ili acompensate hela ya bundle. Labda kama kabadili kabila. ... huyo alohonga jero akiwa first year lakini Kila akilala anaiota! Yani huyu kwa ubahili wake atakuwa tu wako milele, atachepukaje huku ana mkono wa birika pyeee
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaaa! Eti unawekewa bundle la muda gani?? Nimeanguka nikizinduka takujibu.

Kweli hapana chezea safari ya matumaini, mnaanza kupunguza kimoja kimoja mwisho wa siku hakuna muungano kabisa, yangu majicho.
 
Last edited by a moderator:
Cha mbavu huwezi kunipa. Niliamua kupotezea kwa heshima yangu na dada yako...
Hahhahaha ulipotezea wapi, au niweke message zako hapa, afu ukinidiss tu tena naweka na voice notes nilizokurecord mkeo akusikie teh
 
Achana nao hao wataishia Kula kwa macho, watanawa lakini Kula kwa macho.....

Umesemaje?? Tule kwa nini? Heaven Sent hivi hiki kipengele umekisoma kweli? Aisee hapana chezea safari ya matumaini.
 
Last edited by a moderator:
Cha mbavu huwezi kunipa. Niliamua kupotezea kwa heshima yangu na dada yako...

Hahahaaaaa!!! Safari ya matumaini inaendelea.

Hahahhaah akikuungia bundle la mwezi, atafunga kula mwezi mzima ili acompensate hela ya bundle. Labda kama kabadili kabila. ... huyo alohonga jero akiwa first year lakini Kila akilala anaiota! Yani huyu kwa ubahili wake atakuwa tu wako milele, atachepukaje huku ana mkono wa birika pyeee

Mwezi hautoshi naona mwaka mzima, na ataiandika katika diary kabisa.
 
I love you baby girl...dini sio ishu, ili mradi sambusa yangu unanipa tu..

Naelewa na kukumbuka vizuri tu mkataba wetu kuna mambo ya muungano na kuna mambo si ya muungano, duhh!!!!! Nina kismati na Sabato's boy's wapi Ntuzu heheheheh. ..........
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa!!! Safari ya matumaini inaendelea.

Mwezi hautoshi naona mwaka mzima, na ataiandika katika diary kabisa.
Teh kwani hujui ana daftari lake la mahesabu la Kila siku. Yani humo Kila kitunguu na nyanya ilonunuliwa vimeandikwa.
 
Naelewa na kukumbuka vizuri tu mkataba wetu kuna mambo ya muungano na kuna mambo si ya muungano, duhh!!!!! Nina kismati na Sabato's boy's wapi Ntuzu heheheheh. ..........

Lakini sisi ni zaidi ya mcharo...si unajua!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahhaah akikuungia bundle la mwezi, atafunga kula mwezi mzima ili acompensate hela ya bundle. Labda kama kabadili kabila. ... huyo alohonga jero akiwa first year lakini Kila akilala anaiota! Yani huyu kwa ubahili wake atakuwa tu wako milele, atachepukaje huku ana mkono wa birika pyeee

Hahahahaaaaa! Eti unawekewa bundle la muda gani?? Nimeanguka nikizinduka takujibu.

Kweli hapana chezea safari ya matumaini, mnaanza kupunguza kimoja kimoja mwisho wa siku hakuna muungano kabisa, yangu majicho.

Ooooohhhh!!!! Poleni wadogo zangu Mbona kwangu si bahili? Yaani nazitumia nitakavyo kwa wakati wowote, ndo maana huwa sina presha mwiko wangu utanirudia mwenyewe, yaani kwangu habishani, ndoa yetu ina amani bana!!!!!!
 
Back
Top Bottom