Hahahahaaa
Ataninyima mke aisee
Mwache abaki jukwaa la matangazo tu
Hapa sikubaliani na nyie....Hatutaki kwenda Bombo Hosital kutoa pole! Hivi hamna huruma na Babu zenu?
Mnataka wa-faint kwenye laptop
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.
Nitakutupia mdudu Shem.Wagosi wa Kaya, wagosi wa ndima:
Ticha: Gudimoningi class
Wanafunzi: Gudimoningii saa
Ticha: Mwinuka zeze
Wanafunzi: Mwalimu umeongea Kisambaa!
Nimechanganyikiwa mpaka naongea Kisambaa daasani
Suala lilikuwa ni babu kwenda kule kwa Mambo yetu ya wabwaku!
Umeniget Madame B ?
Hahahahahahaaaa Chocs wangu daima aisee hakuna kaka yeye kwa sasa
Nitakutupia mdudu Shem.
Kule hatumtaki..........asije akatuletea Injili yake...
Abaki hukuhuku.
Sasa je............ n'litaka nishangae bwa!!!!!!
Kinachoongelewa hapa ni kwamba Ankal Kaizer amekorofisha nyumbani kutokana na ishu ya Bi mdogo yulee wa mtaa
wa Kinondoni shamba. Sasa ili kusevu soo na kutoonekana amemvunjia heshima Bi mkubwa akaanzisha hili topiki
na kuhakikisha Bi. Mkubwa anaiona kweupee ili kumhakikishia kwamba hawezi kutekwa na vigori.
Sasa bana katikati ya mjadala si ndo kukaibuka ishu ya nani wa 30s nani wa 20s. Infwakt wapo ambao walikuwa
wana-swing kutegemea na upepo mzuri umeenda wapi.
MWISHONI hapa akazuka Babu na kumfagilia sana Bibi na hilo jinamizi la 30s. Ndo nikauliza lile shemeji langu
la ukwee ni 20s au 30s, yeye akadai anakujua ndiyo mimi nikakuita shemeji langu ili umuonjeshe ladha kutoka
Kino clan. Lakini kwa bahati mbaya ahlan wasahlan Babu katenguka ulimi ulipomuomba erickb 52 amlete kulee
chimbo kabisa!!
Sijui shem umenielewa?
Kama wote bado mko below 30, nawashauri mchezopo chezepo kidalipo kwa miaka mingine kama 2-5 hivi...
Babu DC!!
Nimekupata Shem platozoom.
Unajua Huyu Babu Dark City, tangu azuzuke na mimi kule TA..........kutwa nahisi ananiota mimi tu
Hii ngoma ya kikubwa.........
Sasa nae Kaka Erickb52 tangu ampate wifi Chocs..hajapeleka mahitaji nyumbani huu mwaka wa 4,
Au ndo mambo ya Kamgambile??????,........Ndani ya chupa kabatini.
Yan haka kamdudu kananishangazaga
Kunasiku nikafuta kioo cha laptop nikijua ni mdudu hahahaaa nilijicheka sana!
Nitakutupia mdudu Shem.
Ila alonifanya nisieleke ni Amyner ingawa Kipipi baada ya kutake over ndio nikawa kwenye chupa rasmi...sasa kwa Chocs sijui kama nitachomoka aiseeNimekupata Shem platozoom.
Unajua Huyu Babu Dark City, tangu azuzuke na mimi kule TA..........kutwa nahisi ananiota mimi tu
Hii ngoma ya kikubwa.........
Sasa nae Kaka Erickb52 tangu ampate wifi Chocs..hajapeleka mahitaji nyumbani huu mwaka wa 4,
Au ndo mambo ya Kamgambile??????,........Ndani ya chupa kabatini.
Sasa wakiwa wanne je.... si ndio utapagawa?
Ningekuwa karibu ningekuchekaje??????
Ila kiukweli kanaduwaza.