Wao hawayasemi yao wanatuona sie tuuuMjitaje na wanaume msiotaka ndugu wa mke majumbani kwenu..
Nawao hawachewi kutamba vya kaka yao ndiyo maana wanachukiwa.Si kweli binafsi siko hvyo
Sema wewe haupo hivyo na hongera kama kweli upo tofauti lakini hawa wengine balaaSi kweli binafsi siko hvyo
Litaje aisee hapo umetuachaHapo umegusa penyewe kabisaaa!(Lile kabila lakuleee wanasema PAPO PENE PANG"ANDAA
Hii huwaga haipo binafsi sijawahi kuona kesi nyingi zenu nyie kina dada.Mjitaje na wanaume msiotaka ndugu wa mke majumbani kwenu..