Wanawake walio wengi hawana upendo na ndugu wa waume zao

Hapo umegusa penyewe kabisaaa!(Lile kabila lakuleee wanasema PAPO PENE PANG"ANDAA
 
Kila mtu akiwa na maisha yake heshima na upendo vitakuwepo. Haya mambo ya kwenda kurundikana kwa kaka/ mjomba kisa anauwezo yanachosha, imekuwa mume ametoka kazini hata kumkiss unajifiria utaonekana una tabia mbaya wakati bado uko kwenye ndoa changa.
 
Ukiangalia kwajujuu utaona kuna ukweli. Ila imekaa hivi hakuna chamwanamke wala mwanaume eti aseme anapenda upande wamwenzie kuliko wake. Ila nikuuigiza tu hapa wanawake uguswa zaidi kwa vile asilimia kubwa ni tegemezi. Ngoja ukute mwanamke ndio anakipato kikubwa uone mwanaume aone anapeleka vitu vinakwenda ukweni kiroho kitauma tu. Pia wanawake hawafichi hisia zao, wanaume wanajikausha tu huku viroho vinaumia.
 
Back
Top Bottom