Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 213
- 487
Hamna taifa Afrika la kumbizana na Tanzania tupo vizur sana.
Sio kweliHamna taifa Afrika la kumbizana na Tanzania tupo vizur sana.
Huu ni ukweli usiopingika.Hamna taifa Afrika la kumbizana na Tanzania tupo vizur sana.
Tekeleza majukumu yako ya kiserikali wewe.Kama BICHWA KOMWE.
Mama la mama.
Hebu wacha hizo wewe! Minyarwanda hapa tu inatupiga gepu! Hapo hujaenda kwa Wahabeshi! Labda kama unalinganisha na WakenyaHamna taifa Afrika la kumbizana na Tanzania tupo vizur sana.
Jomba endelea kula kwa macho hadhi yako hairuhusu.
Eti huyu ndio mzuri..duh!acheni kuvunjia heshima uzuri
Kula chuma hicho maamaeEti huyu ndio mzuri..duh!acheni kuvunjia heshima uzuri
Ila lenyewe lizuri bwana! Linatosha!Eti huyu ndio mzuri..duh!acheni kuvunjia heshima uzuri
Picha yake iwekwe kwenye noti ya 10k. Tena waweke tu kiunoni kwenda chini. Itaongeza thamani ya shilingi yetu ndani ya masaa 24.Sisi mabaradhuli mabishi kichiz. Tutaendelea tu hivyo kula kwa macha.
View attachment 3682675
min -me
Huyu ukisikia kuna Mzee anapita naye, lazima atakuuma, maana sio kumhusudu huko 🤪