Wanawake wa kitanzania ni warembo mno!

Wanawake wa kitanzania ni warembo mno!

Duhh nomaa.. kuwa makini mkuu hali si shwari, or else unazunguka na ubavu!
Nimeacha hizo mbanga miaka mingi sana aisee ninaipenda sana familia yangu pamoja na Mama yao nikikaa muda mrefu SA nampandisha ndege mkinga wangu tunaishi wakati wa kurudi mimi naendesha road yeye anarudi kwa usafiri wake ili tusije kupotea wote kwenye maajali humu unakumbuka niliwahi kukwambia nimetokea Isanga ni kama nilitumwa na kijiji precaution zote ninazo hapa ni wanawake nikikupa story ya Sembe utashangaa zaidi wacha nilale tuombe uzima kesho tena sister..
 
Nilisinzia mkuu, aisee nimependa sana hapo unavyoipa familia yako kipaumbele! Mungu awatunze broski. Ukiamka unipe hicho kisa niendelee kushangaa mambo! Sema dunia ya sasa inaogopesha..
 
Kichwa chako kimekaza fuvu?? Asa kuna mwanamke mrembo anaevuta sigara??
Mwanamke akishaanza uvutajibwa sigara tu. Bas uyo sio mrembo tena...
Ukisema urembo wa mwanamke tunazungumzia sana sana ni tabia njema....
Ufutaji wa sigara ni tabia mbaya. Ambayo mwanamke haimpendezi..🙏🙏🙏🙏🙏
Urembo ni nini
 
Nilisinzia mkuu, aisee nimependa sana hapo unavyoipa familia yako kipaumbele! Mungu awatunze broski. Ukiamka unipe hicho kisa niendelee kushangaa mambo! Sema dunia ya sasa inaogopesha..
Nipo road nikifika nakokwenda baada ya siku mbili tukijaaliwa ntakupa visa vya huko shambani kwa mabaharia wa Nchi kavu.
 
Kwa nini CHADEMA mnaumizwa na sifa mzuri za taifa letu? just curious......
Wewe haujatoka, hujaona visu, hakuna nchi yeyote Africa inayoifikia South Africa kwa visu.

Rwanda ni hype ya mitandaoni nenda Kigali wale Twiga wao wanaotamba nao mitandaoni huwaoni.

Sasa dondoka South Africa mpaka location watoto wakali, sasa hao makaladi ndio balaa, yani wewe tu mfuko wako uwe na pumzi ya kumpiga shoping Truewooth/Woolwooth/Edgars hata Mr Price Levis jeans na raba Nike huku mnapiga sea food Victor &Alfred Waterfront Mother City demu wa Kikaladi hapo umemroga anakupa yote mfululu mpaka bonus.
 
Back
Top Bottom