BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,267
- 23,308
Acha kiherehere.Linda mgongo, haya nimekuquote una la kunifanya?
Futsekee.
Acha kiherehere.Linda mgongo, haya nimekuquote una la kunifanya?
Futsekee.
Dr unataka kuniambia wale watoto wakali wa Eritrea na wakihabesh hawaoni ndani kwa hao wazulu?Wewe haujatoka, hujaona visu, hakuna nchi yeyote Africa inayoifikia South Africa kwa visu.
Rwanda ni hype ya mitandaoni nenda Kigali wale Twiga wao wanaotamba nao mitandaoni huwaoni.
Sasa dondoka South Africa mpaka location watoto wakali, sasa hao makaladi ndio balaa, yani wewe tu mfuko wako uwe na pumzi ya kumpiga shoping Truewooth/Woolwooth/Edgars hata Mr Price Levis jeans na raba Nike huku mnapiga sea food Victor &Alfred Waterfront Mother City demu wa Kikaladi hapo umemroga anakupa yote mfululu mpaka bonus.
Mkuu namaanisha sio kuwaoa ila kustarehe nao tu kwa muda wa mwezi mmoja au miwili namrudisha kwaoSheria yao ya Nchi sasa hivi ukimuoa nenda nae kwenu usiishi nae ukweni ili upate makaratasi ukitaka hata aje aishi milele anakuja tu.
Brother umeshawahi kuwatembelea wanyarwanda?Hamna taifa Afrika la kumbizana na Tanzania tupo vizur sana.
Umeelewa nilichoandika, sample ya uzuri inatakiwa ukifika sehemu wapatikane kwa wingi wa kutosha.Dr unataka kuniambia wale watoto wakali wa Eritrea na wakihabesh hawaoni ndani kwa hao wazulu?
Wale wa kwenye picha mtandaoni au umefika Kigali?Brother umeshawahi kuwatembelea wanyarwanda?