Wanawake wa kitanzania ni warembo mno!

Wanawake wa kitanzania ni warembo mno!

Mzee ushaingia south africa utakojoa barabarani
 
Hebu wacha hizo wewe! Minyarwanda hapa tu inatupiga gepu! Hapo hujaenda kwa Wahabeshi! Labda kama unalinganisha na Wakenya

Hao wanyarwanfa unaweza kuwashindanisha na wanyantuzu, warangi, wanyamwezi

Halafu Kuna watu Kutoka mkoa wa Manyara

Wanyarandwa kilichowasaidia ni propaganda tu
 
Hao wanyarwanfa unaweza kuwashindanisha na wanyantuzu, warangi, wanyamwezi

Halafu Kuna watu Kutoka mkoa wa Manyara

Wanyarandwa kilichowasaidia ni propaganda tu
Awapi sio kweli warwanda ni mapisikali mno iweje ziwe propaganda wakati sisi wote tunaona?
 
Wekeni vigezo vya pisi kali kwanza😃, kuna baadhi ya wadau wanapenda tukunyema afu kuna wengine sio test zao kbs, tunafanyaje hapo?
 
Duhh mbona hatari!
Sio hatari ndio life hiyo sio kwetu wanawake wanaringa balaa huko mtoto mzuri ila kama hana mtu au anae wao kukataa wanaona ni kama ko sa kwa mila zao naposema wazuri ni wazuri weka picha ya mamiss harafu ndio wao wengi..
 
Kwahiyo ni kuwabless tu wana sio? Sio kuringa mtu kama ana mtuwe hawezi kukubali tu, nao ndio identity yao, Mungu ana watu!
 
Back
Top Bottom