Wanawake wa kitanzania ni warembo mno!

Wanawake wa kitanzania ni warembo mno!

Kwahiyo ni kuwabless tu wana sio? Sio kuringa mtu kama ana mtuwe hawezi kukubali tu, nao ndio identity yao, Mungu ana watu!
Mwanamke unamkuta custom officer anasema anatamani kuolewa na Mtanzania jirani yake aliolewa na Mtanzania ndoa yao ipo vizuri hao wapo wengi mpaka tunawakimbia ukionyeshwa picha unaweza kukataa sasa hapo si mpira katoa kwenye maguu 12 kaweka kwenye sita utafanyeje..
 
Aisee! Hapo kupangua ni ngumu inakubidi kuwa na mke bara na visiwani🙆🏽‍♀️
 
Aisee! Hapo kupangua ni ngumu inakubidi kuwa na mke bara na pwani🙆🏽‍♀️
Sio mke unapita nae tu wapo wanaotaka lift kutoka miji mikubwa wahuni huwa wanachagua pisi kali mtu anatoka Gabs anaelekea Mahalapye huyo kutoa papa ni lazima kuna kulala mbele hotel na wao wanaona kawaida tu huko wahuni wanatembea na kinga tu bila hivyo ni hatari kule pisi zinatumika mno na wala sio big ishu na mavazi yao wanatembea nusu wazima migongo na hips zimesimama unaokota kama wa kawaida tu si wapo wengi..
 
Duhh lakini hii hali ya hatari sana wala sio sifa nzuri! Mtu analala na chochote atakachokutana nacho🤔
 
Wanawake wapo wengi kuliko wanaume wao kuwa na mwanaume wanafurahi tofauti na Nchi zingine huko SA,Eswatin,Lesotho na Botswana wana enjoy life kuanzia Alhamis mpaka J2 kila wiki ni nyama nyama pombe wanawake hawawazi kujenga wao..
 
! wapo wengi kuliko wanaume wao kuwa na mwanaume wanafurahi tofauti na Nchi zingine huko SA,Eswatin,Lesotho na Botswana wana enjoy life kuanzia Alhamis mpaka J2 kila wiki ni nyama nyama pombe wanawake hawawazi kujenga wao..
Inafikirisha na kuhuzunisha kwa pamoja! Maisha ya ajabu sana hayo duh!! Yani mtu anaenjoy kulala tu na watu bila sababu za msingi
 
Tembea uone maajabu ya Dunia watu wanasafiri kwenda kukamata pisi za Nchi ingine wakijua wanapatikana kirahisi na Serikali inabariki tu..
 
Sio mke unapita nae tu wapo wanaotaka lift kutoka miji mikubwa wahuni huwa wanachagua pisi kali mtu anatoka Gabs anaelekea Mahalapye huyo kutoa papa ni lazima kuna kulala mbele hotel na wao wanaona kawaida tu huko wahuni wanatembea na kinga tu bila hivyo ni hatari kule pisi zinatumika mno na wala sio big ishu na mavazi yao wanatembea nusu wazima migongo na hips zimesimama unaokota kama wa kawaida tu si wapo wengi..
Kuna nchi mbunye sio big deal kabisa
 
Back
Top Bottom