Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Tatizo kiafrika kuoa/olewa kunahesabika kama "mafanikio" katika maisha. Hata uwe na hela vipi, kama hujaoa/olewa bado watu watakuangalia kama mtu ulie feli maisha..! Unaonekana mhuni tu..
Na huo ni ukweli kiroho na kimwili hata hanithi huona aibu kutokuwa na mke sembuse shababi ?
 
Tatizo kiafrika kuoa/olewa kunahesabika kama "mafanikio" katika maisha. Hata uwe na hela vipi, kama hujaoa/olewa bado watu watakuangalia kama mtu ulie feli maisha..! Unaonekana mhuni tu..
Sio mafanikio ni takwa la asali, sababu kubwa ya wazungu kusumbuliwa na depression, suicide, drug addiction ni kwenda kinyume na matakwa ya asili, mafanikio yana sehemu yake katika moyo, na mahusiano pia
 
Miaka 30 mbali akishazaa tu halafu baba wa mtoto magumashi utamuonea huruma..wewe tafuta mwanamke yeyote aliyezaa kwa sasa na aliyetelekezwa na mtoto ambaye alikukataa/kupiga chini enzi hizo kwa sababu za kijinga kama kipato n.k mwambie nataka kuishi na wewe majibu utayapata..Hii pisi ilikuwa inaringa hatari ni design ya Wema Sepetu enzi hizo siku hizi anataman miracles ihappen!😂

View attachment 2203793
Yani huyu hata usipompenda yeye, ukamuhudumia mwanae, kwa kulipia maintaneshno skuli,basi umemaliza.
 
Psychological set up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
NDIYO
 
Tatizo kiafrika kuoa/olewa kunahesabika kama "mafanikio" katika maisha. Hata uwe na hela vipi, kama hujaoa/olewa bado watu watakuangalia kama mtu ulie feli maisha..! Unaonekana mhuni tu..
Institution ya ndoa ndio imefeli, ni kilio na kusaga meno ndani ya ndoa nyingi. Talaka kila kukicha. Ma lone rangers both male/female wanadunda and feeling good, real good.
 
Back
Top Bottom