Ni mabadiliko yanayo mtokea na ni ya kawaida kwa wanawake wajawazito MPE support na umchukulie ka alivo.
Ka unaona anakusumbua na wewe beba mimba uone moto wake.
hizo ni mbwembwe tu mimi wangu anamimba na nimemwambia staki drama hapa tunalea taraatibu na katuliA
Si nafuu wewe mkuu,sitasahau mke wa dingi mdogo alikuwa na mimba yake ya kwanza mwaka 2000,basi mpaka dingi mdg kuna kipindi haendi job na alikuwa anamdekeza haswa...siku moja usiku wa saa 7 akatuamsha tena kwa hasira mimi na binamu yangu eti tukamtungulie mkewe mapera mabichi (japo mti haukuwa mbali) halafu tuje na matembele pia. Na kulikuwa na manyunyu usiku huo huyu binamu yangu alianguka kwny utelezi na kuumia hadi leo ana kovu,asubuhi yake alienda kwao (kwa Aunt yangu).
Ni mabadiliko yanayo mtokea na ni ya kawaida kwa wanawake wajawazito MPE support na umchukulie ka alivo.
Ka unaona anakusumbua na wewe beba mimba uone moto wake.
Si nafuu wewe mkuu,sitasahau mke wa dingi mdogo alikuwa na mimba yake ya kwanza mwaka 2000,basi mpaka dingi mdg kuna kipindi haendi job na alikuwa anamdekeza haswa...siku moja usiku wa saa 7 akatuamsha tena kwa hasira mimi na binamu yangu eti tukamtungulie mkewe mapera mabichi (japo mti haukuwa mbali) halafu tuje na matembele pia. Na kulikuwa na manyunyu usiku huo huyu binamu yangu alianguka kwny utelezi na kuumia hadi leo ana kovu,asubuhi yake alienda kwao (kwa Aunt yangu).
Hahahahaa...poleni mie nakumbuka ujauzito wa wife alikuwa anapenda pespi baridi ile chupa yake inamdomo mwembamba....siku moja ziliisha kwa friji imefika saa tisa usiku akaniamsha mzee tulizunguka baa zote dar nikaja ipatia kona bar sinza toka mbezi kimara....tumerudi om tayari kumekucha...