Wanawake Wafupi ni wakorofi

Miaka saba halafu unajifanya eti unasita .. Ulaaniwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wanajifanya wanashangaa mdada anafikisha vipi above 30 yrs pasipo kuolewa wakati wao ndo source.

Imagine kama alianza kudate na huyo mdada tangu akiwa na miaka 25,leo hii ana miaka 33!

Kweli alaaniwe
 
Hapo ndugu UMETWANGA PENYEWEEEE! yaan hawa wafupi na hwa wenye vimwili VIKAVU weeee usijaribu koma kabisa-wivu,ubishi,ujuaji,umbea,uchoyo,unoko,ufukunyuku,yaani nduguyangu ni mara kumi ukutane na FISI porini kuliko hizi number mvili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepanga sitakuja kumtolea mwanamke mahari!kama bure poa tu@Adamu na Eva mahari haikuhusika hapo
 
una majanga wewe si bure.7 years....just only to *** her? oo G
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…