Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Khaaa...Wanawake wafupi hawajawahi kumwacha mwanaume salama!japokuwa asilimia kubwa wanajua kupenda ila changamoto zao ni kubwa mno kukabiliana nazo ni wagomvi sana ss sijui huwa hawajiamini au vp!nina mchumba(mfupi) kila nikitaka kumuoa roho inasita sasa tupo kwenye uchumba sugu for 7 years!wanawake wafupi please punguzeni wivu watu tunashindwa kutangaza ndoa
Huyo siyo mfupi ni mbilikimoKhaaa...
Naona kama unawapakazia... mbona sioni kama huyu ni mkorofi?
Huu ni uchawi kumfunga mtoto wa mwenzako asiolewe kwa miaka saba kwa jina la uchumba suguKuna ndoa hazijatimiza hata miaka 7 zimetawanyika wewe uchumba una miaka 7 upo nae sasa si bahati hiyo? Wangoja nini zaidi ya ulivyovivumilia kwa miaka 7?!
Sent using Jamii Forums mobile app