Wanawake wabaya

Wanawake wabaya

Sasa unakuwa mbaya unajiamini nini, wazuri ndio huwa wanajiamini

Mbaya kwenye macho yako wewe lakini kwa wengine mzuri, na pia hakuna binadamu mbaya duniani vitendo vyake labda vibaya sababu hujamuumbaa wewe ukataka kumkosoa....
 
Hivi kwa nini wanawake au wasichana wabaya huwa wanaringa kuliko wanawake au wasichana wazuri?

Mbaya shetani 2, hakuna mwanadamu mbaya kwa aliyeumbwa na yesu kristo tena kwa mfano wake.so hapo siungi hoja.tabia ndo mpango mzima mkuu
 
Sungura akarukia wee matunda yalio mtini mpaka mwisho akachoka akasema Sizitaki mbichi hizi.
 
Sio kweli, huwa hawaring bal huwa hawakubal kuwa na m2 ambaye si wa muonekano kama wake!!
 
Nakumbuka kuna shindano la wanaume wabaya lilifanyika cha ajabu mshindi 1-3 walioshinda walikuwa waume za watu. Ubaya ni jinsi mtu anavyo hisi au unavyohisi.
 
Tena usiombe ukutane na janajike baya alafu chafu weeeee!! utaomba Poooooo!! wako wengi sana na hivi uchumi unavyobana!!
 
wazuri hawana personality, wabaya tuna personality
 
alafu ukiwa na mwanamke mbaya jinsi anavyojishaua hadi KERO!! alafu wana WIVU kinoma!! hasa akipita msichana mzuri wee!!
 
Back
Top Bottom