Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

kuna mtu ka modify tilte ya huu uzi wangu. sijui nani. hata hivyo nampongeza maana sasa imekaa vyeam-bravoooooooooooooooo! ila ulitakiwa uniombe ruhusa kwanza
 
Haya mambo hayana ukweli wowote,

Uzoefu wangu wa kuishi Tanga enzi zile na safari zangu za mara kwa mara zimenifanya niamini kuwa si kweli.....

Anayebisha ana lake!
 
Tanga raha bana, hata kama una hogo la jang'ombe wao wajua kulihandle kwa ustadi na ukapata raha yako bila kuwadhuru mabinti wa ki-Tanga.
 
1.Japo Natokea Tanga, Mapenzi Yalipozaliwa, Sijivishi Ufundi Kujifanya Nayajua 'FA'
2. Mabinti Wa Kitanga, Wanajua Kujipamba, Kwa Mapenzi Utapenda Na Hapo Ndo Utatia Nanga 'BWANA MISOSI'
 
Kuna wamama wawili nawafahamu wanatokea Tanga; waume zao chupi mkononi; mmoja mumewe alihama nyumba kabisa. Sasa na hapo mtasemaje. Walishindwaje kuwashika hao waume zao na mapenzi ya kitanga???

Kuna mtoto wa shangazi yangu amemtaliki wife wake wa Kitanga baada ya kumuweka mkononi for so many years; sasa naona dawa zimeisha nguvu.
Mnafanywa ndondocha mnajidanganya, mapenzi, mdalasini. Wajanja walishashtuka. Nyie bado mnashobokea kuogeshewa uchafu.

Tuondoleeni upuuzi. Mapenzi ni compatibility haina cha kuogea karafuu wala mdalasini.
 
Kwa hiyo penzi liko tibiesidi siyo? Nauli ya kwenda na kurudi udigoni ni ngapi? kuna mtu anaweza nikopesha nakashuhudie mwenyewe? Joking! Lakini mapenzi ni utundu tu hivyo hata wale wa mikoa mingine wanaweza kuimpoti huo uzoefu tukaachana na hatari za kusafiri kwa gari kwenda Tanga kwa bara bara.
 
Usiache kwenda nenda Duga-maforoni, Kibafuta-mwariza, Giriini, Gombero, halafu Mabokweni upande basi urudi zako Tanga mjini Chuda au shuka Chumbageni.
 
Pale unaposikia mapenzi ya wanawake wa kitanga (sio hawa waliochakachuliwa na maisha ya kimjinimjini) wale orijino yanachanganya wanaume ukadhani labda watu wanatania, ni kweli.

Mwanamke akihongwa hela atahakikisha anakupatia huduma-wewe mwanaue uiyemhonga-inayoendana na thamani halisi ya hongo uliyompatia. Atakupatia mahitaji yako na 'kukuhudumia' kwa kiwango kinachoendana na gharama halisi ulizotoa-utakula chakula kizuri na kitamu, ikibidi atakununulia zawadi za kawaida lakini zenye kuukonga moyo wako. Kama huyo ni nyumba ndogo yako basi kuna uwezekano mwanaume ukahamishia makazi kwake, au kama ni mpenzi, jiandae kuoa tena kwa wewe mwanaume kushinikiza ndoa kwa haraka. Kifupi ni kama anaikurudishia hela yoooooooooooote uliyomhonga kwa njia ya huduma bomba na zenye viwango.

Wako tofauti sana na wanawake wa mikoa mingine ya TZ ambao leo ukimwambia atumie gari lako kurudi kwao, kesho ataomba umnunulie Spacio.

Tanga kuna raha bwana!

Hivi kwa nini wanaume wa kiafrika mnapenda sana mapenzi ya kununua,kwa nini usiseme anakupa mapenzi wewe ukiwa kama mpenzi wake,
badala yake eti anakupa mapenzi kutokana na thamani ya hongo uliyompa.

Embu jiamini wewe kama mwanaume na
kama mwanadamu unasifa za kupendwa bila
kununua,na hata hivyo hauta weza kununua mapenzi milele.

Na je ikitokea huna fedha au chochote kikitokea ukafulia na mapenzi ndio itabidi ya ishe ahudumiwe atakaye kuwa nazo kwa
wakati huo ama?

Neno mapenzi hatulielewi kabisa.
 
Kuna wamama wawili nawafahamu wanatokea Tanga; waume zao chupi mkononi; mmoja mumewe alihama nyumba kabisa. Sasa na hapo mtasemaje. Walishindwaje kuwashika hao waume zao na mapenzi ya kitanga???

Kuna mtoto wa shangazi yangu amemtaliki wife wake wa Kitanga baada ya kumuweka mkononi for so many years; sasa naona dawa zimeisha nguvu.
Mnafanywa ndondocha mnajidanganya, mapenzi, mdalasini. Wajanja walishashtuka. Nyie bado mnashobokea kuogeshewa uchafu.

Tuondoleeni upuuzi. Mapenzi ni compatibility haina cha kuogea karafuu wala mdalasini.

Umeona ehhhhh??
Mapenzi ni mnavyoendana.Penzi changa/la kuiba siku zote tamu.Kinachowazuzua ni hivyo vitu viwili hakuna cha zaidi.Leo ni wanawake wa Tanga, kesho ukipata mmanyema utachanganyikiwa, ukimpata mzanzibari utazuzuka, ukimpata mhaya ndio usiseme.....mtazunguka mabucha yote lakini nyama ni ile ile - imechemshwa, ikaokwa, ikakaangwa, ikabanikwa, ikakaushwa juani, ikatiwa moshi, mara imewekwa kitunguu thaum........haya weeee!! Inategemea hujaila kwa mtindo huo kwa muda gani.Rule of the thumb "ZAFANANA".
 
Mi ndo maana nimejikita maeneo ya Chuda raha nazo pata we acha tu.
Nikifika tu ananibeba toka mlangoni mpaka chumbani kisha ananivua nguo na kuniandalia maji ya kuoga yaliyowekwa viungo. Tanga jamani raha asikwambie mtu unaweza hamia kabisa.

hahahahahah lol! We acha tu mambo ya Tanga si mchezo...ni shughuli nzito sana. Umesahau kulishwa Mkuu :):):) lol!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
zafanana.......??????????

umenikumbusha mabasi ya tanga
kuna zafanana, raha leo, tawfiq....kikulacho lol
 
Umeona ehhhhh??
Mapenzi ni mnavyoendana.Penzi changa/la kuiba siku zote tamu.Kinachowazuzua ni hivyo vitu viwili hakuna cha zaidi.Leo ni wanawake wa Tanga, kesho ukipata mmanyema utachanganyikiwa, ukimpata mzanzibari utazuzuka, ukimpata mhaya ndio usiseme.....mtazunguka mabucha yote lakini nyama ni ile ile - imechemshwa, ikaokwa, ikakaangwa, ikabanikwa, ikakaushwa juani, ikatiwa moshi, mara imewekwa kitunguu thaum........haya weeee!! Inategemea hujaila kwa mtindo huo kwa muda gani.Rule of the thumb "ZAFANANA".

Je suis d'accord. Ni kweli, wanazuzuka na viungo hao!
 
Umeona ehhhhh??
Mapenzi ni mnavyoendana.Penzi changa/la kuiba siku zote tamu.Kinachowazuzua ni hivyo vitu viwili hakuna cha zaidi.Leo ni wanawake wa Tanga, kesho ukipata mmanyema utachanganyikiwa, ukimpata mzanzibari utazuzuka, ukimpata mhaya ndio usiseme
.....mtazunguka mabucha yote lakini nyama ni ile ile - imechemshwa, ikaokwa, ikakaangwa, ikabanikwa, ikakaushwa juani, ikatiwa moshi, mara imewekwa kitunguu thaum........haya weeee!! Inategemea hujaila kwa mtindo huo kwa muda gani.Rule of the thumb "ZAFANANA".

Mkuu TM hili (kwenye rangi) limeshazungumzwa sana hapa siku za nyuma. Na walaji wengi wa nyama wakathibitisha kwamba pamoja na kuwa na nyama ni ile ile lakini ina tofauti kubwa sana katika usafi wa nyama na hata ladha :):):) Nadhani umeshawahi kusikia, "Mie napenda kununua nyama katika ile bucha ya Mwarabu mtaa wa tatu ni laini sana halafu haina uchafu kabisa." :):) au umeshaisikia nyama ya kongwa hii waliowahi kuila wanajua utamu wake hivyo wanapoikuta mahali inauzwa hata kama walikuwa hawana mpango wa kununua nyama wiki hiyo lakini kama ni ya Kongwa basi lazima mtu abadili mawazo na kununua japo kilo mbili tu :):)...hivyo hii kauli ya, "Mtazunguka mabucha yote lakini nyama ni ile ile." ni kauli ambayo haina ukweli wowote na walaji wa nyama wameshathibitisha hivyo. :):):)

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom