Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

wakati wewe unasoma btn the line mie nasoma on top of the line ndo maana naelewa, by the way sija-jump nimekaa.

kasema anawalipa hela, sasa utalipwa hela kama huuzi?

Aisee umenikumbusha ile issue ya 'DESERT' jinsi ulivyoielewa, mweeeeeeee! Facebook style. Nchi hii ina walimu tofauti sana wa kiingereza na matokeo yake ndo haya! Shida ya mfumo huria/holela.
 
leo ndo nimejua watanga si waswahili

mie nadhani ndiyo vinavyochochea hiyo raha mwanaume anayoisikia hadi ajione kama mfalme wa tz yote. Mtu unaenda hadi raundi nne ndani ya dk 45, ili hali ukienda kwa waswahili ukifanikiwa raundi 2 ndani ya masaa ma3, ushukuru
 
Pale unaposikia mapenzi ya wanawake kitanga (sio hawa waliochakachuliwa na maisha ya kimjinimjini) wale orijino yanachanganya wanaume ukadhani labda watu wanatania, ni kweli.

Mwanamke akihongwa hela atahakikisha anakupatia huduma-wewe mwanaue uiyemhonga-inayoendana na thamani halisi ya hongo uliyompatia. Atakupatia mahitaji yako na 'kukuhudumia' kwa kiwango kinachoendana na gharama halisi ulizotoa-utakula chakula kizuri na kitamu, ikibidi atakununulia zawadi za kawaida lakini zenye kuukonga moyo wako. Kama huyo ni nyumba ndogo yako basi kuna uwezekano mwanaume ukahamishia makazi kwake, au kama ni mpenzi, jiandae kuoa tena kwa wewe mwanaume kushinikiza ndoa kwa haraka. Kifupi ni kama anaikurudishia hela yoooooooooooote uliyomhonga kwa njia ya huduma bomba na zenye viwango.

Wako tofauti sana na wanawake wa mikoa mingine ya TZ ambao leo ukimwambia atumie gari lako kurudi kwao, kesho ataomba umnunulie Spacio.

Tanga kuna raha bwana!

NIJIBU TAFADHALI
Wachaga wengi wanaofanya shughuli Tanga ziwe ni kuajiriwa au biashara wanadai pesa ya Tanga haihamishiki; je ni kweli au zinaishia kwa hao wanawake wa Kitanga?
 
Teh teh teh kule lazima uzame kwenye tope unaona mwili wake unanukia balaa na wewe umepiga maji ya manukato dah Chuda raha jamani.

Mwenzio nilikoma kusepa nao baada ya kupewa adhabu ya kwanini ninashusha haraka, alisubiri wazungu wakiwa mlango wa exit basi akawapiga stop kwa mkono, weeeeeeee nililia kama mtoto mdogo kang'atwa na manyigu, sirudi tena Chumbageni
 
Hahahaha hamia kule Makokorora basi mzazi.
 
NIJIBU TAFADHALI
Wachaga wengi wanaofanya shughuli Tanga ziwe ni kuajiriwa au biashara wanadai pesa ya Tanga haihamishiki; je ni kweli au zinaishia kwa hao wanawake wa Kitanga?

Sijui! Huko Tanga wameenda na wake zao au wamewaachia wazazi 'wawatunzie' wake zao kule migombani?
 
Mwenzio nilikoma kusepa nao baada ya kupewa adhabu ya kwanini ninashusha haraka, alisubiri wazungu wakiwa mlango wa exit basi akawapiga stop kwa mkono, weeeeeeee nililia kama mtoto mdogo kang'atwa na manyigu, sirudi tena Chumbageni

Nadhani nilikosea kuileta hii thread humu jf!
 
Sisi kwetu akikuwekea maji ya kuoga usioge.... awachelewi kukuwekea upupu:lol::lol:
 
Sijui! Huko Tanga wameenda na wake zao au wamewaachia wazazi 'wawatunzie' wake zao kule migombani?

Hata walioenda wakiwa vijana (hawajaoa) hakuna walichorudi nacho nyumbani zaidi ya kurudi mwili umechoka kuliko wazazi wao waliowaacha kule migombani. Kuna wenye nyumba za kulala wageni, bar lakini hawakuweza kujenga nyumbani hata walipokufa imekuwa ni aibu kwa hadhi waliokuwa nao kuzikwa sehemu ambayo hakuna nyumba

Wako busy "kuzichangisha" watarudi vp na kitu?
Watarudi wamejimaliza wenyewe.
 
Hahahaha hamia kule Makokorora basi mzazi.

Hata huko siendi broo, siku hizi Tanga yote imeoza kwa mdudu anayeingia kwa urahisi kupitia mlango wa Cameroon, Nenda Bombo Hospital dirisha la kuchukulia dawa ujionee watoto wazuriii lakini wote hali zao ni kama vile wanagombea umiss,
 
Sisi kwetu akikuwekea maji ya kuoga usioge.... awachelewi kukuwekea upupu:lol::lol:

kwenu wapi, hebu leta hiyo maneno ili watu tujue wapi pa kwenda na wapi noma!
 
Hata huko siendi broo, siku hizi Tanga yote imeoza kwa mdudu anayeingia kwa urahisi kupitia mlango wa Cameroon, Nenda Bombo Hospital dirisha la kuchukulia dawa ujionee watoto wazuriii lakini wote hali zao ni kama vile wanagombea umiss,

shauri yenu vijana wa siku hizi, kila unapogusa hata kama umependa vipi, ni hofu tupu!
 
Kwanza, jamani waacheni dada zetu wa Kitanga. Ila ukweli unabakia Tanga kwenye suala la mapenzi hakuna sehemu inayofikia (ukiondoa Mombasa!) Tanga hakuna kitu kinaitwa mapenzi kuna kitu kinaitwa "mahaba". Mahaba ni fani iliyotulia na kurithishwa. Mwanamke wa Tanga hakupi mapenzi anakupa mahaba. Watu wengine ndio wanajaribu mapenzi. Wakati mapenzi watu wanapeana vyumbani mahaba yanaanza 12 asubuhi hadi usiku wa manane; kuanzia unapotoka Kazini, kurudi lunch hadi ukitoka kazini.

Kitu pekee wanachodai - na mtoa mada kakiweza vizuri - wewe mhudumie na usimbanie hiyo pesa. Tena wana uaminifu vile vile (loyalty) sijui kwanini! Kanuni yao - hudumia utahudumiwa!

Au mmesahau hadi wanawake wa Kipemba miaka michache tu iliyopita walilalamika "Wanaume zetu wakenda Tanga hawarudi!"
 
Hata walioenda wakiwa vijana (hawajaoa) hakuna walichorudi nacho nyumbani zaidi ya kurudi mwili umechoka kuliko wazazi wao waliowaacha kule migombani. Kuna wenye nyumba za kulala wageni, bar lakini hawakuweza kujenga nyumbani hata walipokufa imekuwa ni aibu kwa hadhi waliokuwa nao kuzikwa sehemu ambayo hakuna nyumba

ndo maana nilisema kuna haja ya kuja na series zangu, naomba changisheni jamani ili kura zitoshe. Tanzania hii ina mengi ya kujifunza kutoka sehemu mbali mbali
 
Kwanza, jamani waacheni dada zetu wa Kitanga. Ila ukweli unabakia Tanga kwenye suala la mapenzi hakuna sehemu inayofikia (ukiondoa Mombasa!) Tanga hakuna kitu kinaitwa mapenzi kuna kitu kinaitwa "mahaba". Mahaba ni fani iliyotulia na kurithishwa. Mwanamke wa Tanga hakupi mapenzi anakupa mahaba. Watu wengine ndio wanajaribu mapenzi. Wakati mapenzi watu wanapeana vyumbani mahaba yanaanza 12 asubuhi hadi usiku wa manane; kuanzia unapotoka Kazini, kurudi lunch hadi ukitoka kazini.

Kitu pekee wanachodai - na mtoa mada kakiweza vizuri - wewe mhudumie na usimbanie hiyo pesa. Tena wana uaminifu vile vile (loyalty) sijui kwanini! Kanuni yao - hudumia utahudumiwa!

Mzee Mwanakijiji asante sana kwa kukazia hukumu. Na mpaka hapa nafunga rasmi mjadala!

Nyie danganyaneni tu.Hakuna cha bure.
Jiulize - kwanini mwanamke akubebe, kwanini maji ayaweke viungo...je hivyo viungo ndani yake mna nini?
Shauri zenu!

Si ameshasema kwamba anapata huduma kutokana na hongo aliyotoa? Mbona hii ni very obvious?
 
kwenu wapi, hebu leta hiyo maneno ili watu tujue wapi pa kwenda na wapi noma!
Nisije nika waharibia dadazangu....kwa kifupi tusifurahie sana aina hii ya mapenzi popote pale hasa inapokuwa part/short time
 
Back
Top Bottom