Wanawake wa siku hizi hawanatofauti na mwanaume

big_in

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
4,507
1,097
Wanawake wa siku hizi wana tabia sawasawa na wanaume kasoro tu hawawezi kubadili jinsia ili wote tukojoe tumesimama...Ukicheat na yeye anatafuta wa kwake anakomoa.

Usipompa hela anatafuta danga linampa hela utashangaa tu wewe unafanya kazi una Nokia Asha,yeye anasoma Diploma ya Record Management pale Magogoni na babake ni Mchuuzi wa Samaki Feri lakini ana Samsung Galaxy Note3 mpya na kumuuliza huwezi.

Ukidhani unamtumia kama Kipoozeo chake kumbe mwenzio na yeye anakutumia wewe kama Feni yake Joto likiwa kali..Ngoma Droo.

We unalewa Bia ye anajidunga Shots za Tequila.

Na mademu wa namna hii huwezi kusikia eti Baby nna mimba yako,hawapatagi mimba hawa hata ule rosti miaka 8,ukimwaga ugali wanamwaga mboga,wanaopata mimba hawa ujue wamekuja mjini na mbio za Mwenge.

Kuwa makini sana,Mapenzi ya siku hizi ni Timing za kumchinja Kobe,ukidhani umewahi kumbe umewahiwa.

True Love ni ngumu sana kupata kama kusikia kolabo ya Suma Mnazaleti na Justin Bieber inapigwa chati za Billboard.
 
acha wasiwasi komaa mkuu...... kumbe kuna wanaume wanongwa na nukuu "Usipompa hela anatafuta danga linampa hela utashangaa tu wewe..........." mwisho wa kunukuu... mkuu kulingana na kichwa chako cha habari kumbe kuna wanaume wnahongwa,,..?
 
mie nasikiaga tu, ila sinauzoefu nalo
 
hiyo inaitwa Usilazimishe dirisha kua mlango... wewe usokua nazo sijui utapendwa kwa Huduma zako unavyo tumika kwenye sita kwa sita au u Handsome barabarani unakubalika,na sio kama hakupendi ila ndio hivyo mshiko sio mwingi kama yuleeee nanuhii ...
 
Na wanaume siku hizi hawatofautiani na wanawake
1. Wote tunatinga hereni...
2.wote tunatinga skin jeans
3.wote tunanyang'anyana mabwana
4.wote tunahongwa..tena kwenye hili wanaume wanafaidi zaid kwa sababu wengine wanahongwa na wanaume wenzao n pia wanahongwa na wanawKe
5.wote siku hizi tunawekwa kinyumba.
Tofauti ni kuwa wenzetu watoto wa kiume hawa huduma zao wanatoa kwa namna tofauti na tunavyotoa sisi wanawake na mimba wenyewe hawabebi.
Wanaume mtuache..
La sivyo mkilalamikia ya wanawake na ya wanaume majina muyaseme.
 
hapo namba 4 na namba 5 hakuna ukweli wanaume hawagombanii ujinga huo labda useme wanawake wanapigana kwa sababu ya wanaume na pia unaweza kuta wanaume wanaweka bifu kisa wanawake na sio hivyo unavyosema hebu EDIT haraka!!!!
 
Kama umenisoma vizuri mkubwa naongelea makaka poa...kwa jina la umaarufu mashoga...
Kwani mashoga hawahongwi na mabwana zao au hujawahi sikia shoga kapangishiwa nyumba na dume mwenzie.

Haya vp kuhusu hawa hawa watoto wa mama wasiotaka kufanya kazi wanaishi mjini kwa kulelewa na mijimama....
Ukweli unauma eeeh...
Kwa taarifa yako hapa mjini siku hz sio kila mwenye ndevu na kifua kama t.a.k.o ni mwanaume...wengine wakike...kama huamini muulize michael scofield sijui....
 
kuna ka ukweli ila kwa mbaaaaali.........
ila nimekusoma mkuu haina kwere!!!
 
wameona wanaume hatuko serious kwenye mahusiano. if you can't beat 'em join 'em

Back
Top Bottom