Kumbuka kuwa hao unaowaita walikuwa mama wa nyumbani ndio walikuwa watafutaji wakubwa wa kipato cha familia na wakawa wavumilivu. Wao ndio walikuwa wanahakikisha chakula cha familia kinatosha, wanalima na kuvuna pamba, kahawa nk ambavyo mauzo yake madingi wanatumia kuongeza mke/wake. Kwani hizo hela zenu mnazopata mnachangia nini? Ni wachache sana ambao wanaongeza kwenye pato la familia. Wengi wenu mnaishia nazo saloon na boutique. Unakuta mtu ana mshahara na bado kila kitu anamuomba mume. Ukimwambia kutimiza majukumu ya mama anadai haki sawa! Haki sawa wakati hata hela ya kutuma kwa wazazi wako natoa Mimi?