Wanawake wa MMU, nisaidieni swala hili

Wanawake wa MMU, nisaidieni swala hili

Ndo maana samsung ikakupiku.
Sasa uzoefu si nimepatia gugo? bahati mbaya huwezi kuhakiki hii hali yangu, kua mupole.
Kwa maneno ya kiufundi uliyoongea hao juu sidhani kama ww ni virgin labda kama ulimaanisha virginia
 
Ha haaa.... raha sana
Mimi kuna kitu huwa sikielewi humu! Mara zote huwa nasikia ooooh mara kibamia oooh mara dushe kubwa lakini hata siku moja sijawahi kuona mkileta vipimo vinavyo thibitisha kibamia kina anzia nchi ngapi au cm ngapi na hili dushe kubwa lina sentimita ngapi?

Huenda humu kuna watu wanajisifu wana madushe kumbe vibamia na wengine wanajisifu na vibamia kumbe madushe , embu anzeni na ufafanuzi dushe linaanzia size gani na kibamia size gani , bila kusahau na upamde wa wanawake na size zao ili ijulikane na ni rambo na nani ni tight,, tuanzie hapo ili watu wajue wanajadili nini?z
 
Kuna kitabu alikigusia hapa mshana jr kile kitabu kinakweleza ni uume gani wafaa kwa mwanamke.

Kama nipo sawa vidole 6 had 8 ndio size avarage na inayofaa ila pia 8 hadi 12 ndio largest size ambayo porn industry ndio inachukua. Below vidole sita hutaweza kumshika vizuri hvo hela na kujiongeza kutakuhusu kuliko kiuno pekee.

Mwambie mwanamke wako aishike then uone ina vidole vngapi na hapo ndio utajua kama upo na ur size ama atakupelepeta.
 
Back
Top Bottom