Wanawake wa MMU, nisaidieni swala hili

Wanawake wa MMU, nisaidieni swala hili

Hivi ni kweli UKUBWA wa Uume Ndio Unaweza kumridhisha Mwanamke kimapenzi au kuna la ziada?
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi,kuna watu mwenyezi mungu kawajaalia khasa lakini matumizi sifuri,na unaweza kua na mduchu ukautumia na mwanamke akajisikia,yote ni utundu na kuelewa nini mpenzi wako anapendelea na kauli yako inachangia sanaaaaaaaaaa ....naomba niishie hapa please..sorry kama ntakua nimewakera wengine nimejitahidi sana kiziba ziba..
 
Hivi ni kweli UKUBWA wa Uume Ndio Unaweza kumridhisha Mwanamke kimapenzi au kuna la ziada?
Mkuu Hongera Kwa Mada Nzuri sana...
Ingawa umewataja wanawake lakini sababu umeweka wazi Hapa Na mpaka Sasa wanawake wengi sidhani Kama watajitokeza Kwasababu inaweza kuwaonyesha wao wakoje Na wanapenda Nini Na hivyo kukosa Au kupoteza wanaowapenda JUKWAANI HAPA.
Ok unajua Kama wote wako sawa Kwa Kila "kitu" Tabia
Unajua kuna mwanamke akifanya mapenzi Na Engineer anafeel raha sana...
Uume mdogo Na Uume mkubwa Kiukweli inategemea unakutana Na Nani unaweza Kuwa wewe una Uume Mdogo ukakutana Na Mwanamke mwenye Uchi/Uke mkubwa hatufurahia Kabisa....
Unless Uanzishwe mjadala Kuwa "wanawake hawana Uchi mkubwa Au Mdogo"
Lakini Kama wana Uchi mkubwa Na Mdogo Kama walivyo wanaume Basi inategemea mwanaume amekutana Na Uchi wa Size yake Au Mkubwa kwake....Haiwezekani Eti Kwasababu wewe Ni Mwanaume Eti wanawake woooooooote Duniani Uume wako uwe unawafaa...
Zipo standard hata wao wanawake wana "Vina" size kutegemea Na Nyonga yake...
Kuna wanawake wengine Uume wa Inch 5 ndo saizi yake,wengine Inchi 4,
Kama sababu zingine Zikiwa zimesimama...Other factor being constant...
Kama wanaume wana size....kwanini wanawake wasiwe Na size????
Ni Uoga wa wanaume kutojiamini Na Kuona Eti Akiongelea Size Kwa Mwanamke ataknekana yeye Kibamia Au Sio Rijali!!!!!
 
Kumbe tunaongelea mimi? mie sifanyi mambo hayo, im still a virgin.
Jamani huyu Dada Ni Virgin...
Mimi najua Hilo hata yeye anajua Kuwa mi najua...
"Na Bado Ni Virgin mpaka Sasa Pamoja Na Mimi kujua Kuwa yeye Ni Virgin"
 
Hujaulizwa umejuaje.
Utulie, manake naona unarukaruka kama popcorn hapa kama makamba jr. Utaharibu!
Jamani huyu Dada Ni Virgin...
Mimi najua Hilo hata yeye anajua Kuwa mi najua...
"Na Bado Ni Virgin mpaka Sasa Pamoja Na Mimi kujua Kuwa yeye Ni Virgin"
 
Hujaulizwa umejuaje.
Utulie, manake naona unarukaruka kama popcorn hapa kama makamba jr. Utaharibu!
Mmmm hiki Kiswahili Duuu...hata Mimi sijasema Nimejuaje...Nimesema najua,Pia Vipi una wasi wasi mbona Kama Mwamvita Makamb...?,
Sitoweza kusema Nimejuaje....Bila Ruhusa yako...
Keep calm!
 
Kitu pekee kinachoweza waridhisha wanawake wa karne hii ni kuwa na kitu cha inchi 4.5 kilichojaa barabara. Na kitu hicho kinaitwa ATM card
 
Kinacho matter ni utundu na ubunifu wa kutumia hilo dushe lako.


Hapana mpendwa dushe kubwa ndo mpango mzima hata kama hana utundu unakalia tu unajishughulia mwenyewe
 
Hapana mpendwa dushe kubwa ndo mpango mzima hata kama hana utundu unakalia tu unajishughulia mwenyewe
Mmmm mi "Ukinikalia" utanivunja nanilii yangu Kwa mujibu wa research iliofanywa kule America ya Kusini.
 
Ili kujua yupi anakufaa zaidi utahitaji kulalana na wote wawili, which makes you a whor$.

Point yangu ni kuwa, issue ni orgasm Alongside furaha zingine za maisha. Anaethamini zaidi, mwaminifu zaidi, mnyenyekevu zaidi ana chance kubwa zaidi.
Mnyenyekevu!!! Wanawake mnapenda wanaume wanyenyekevu???
 
Back
Top Bottom