Wanawake wa mitandaoni

Wanawake wa mitandaoni

Sijawahi huona Simba Mfalme wa Pori anawinda sanamu la swala...!!!

Online dating ni playground ya wasio na uwezo wa kuwinda...
Sijawahi kuona wala kuskia utafiti wowote unaonesha ama kuzungumzia kuwa ndoa nyingi zinazovunjika au zenye matatizo lukuki ni zile ambazo zimetokana na waliokutana au kutongozana kupitia mitandaoni. Kila siku tunashuhudia wake za watu wanavyogegedwa na waliolewa bila kupitia kwenye mitandao. Kutongoza online siku hizi imekuwa shida sana kuliko physically maana wengi wanaogopa kukutana na mtu asiyemfahamu kutokana na matukio ya kutisha yanayozidi kushika kasi kupitia mitandao ya kijamii.
 
Jaman wana JamiiForums, wanajamvi. Hivi mtu unaweza ukatongoza mpaka kuoa mwanamke ambae umemtongoza mitandaoni "social networks" bila kuonana akakubali kwa kuona picha tu? Je atakua mwaminifu kwenye ndoa yake?

NAWASILISHA WANAJAMVI.

Sasa mbona thread title yako ni ya "wanawake" wa mitandaoni? huku wote wenye kuanzisha mahusiano ni wote wanaume na wanawake, issue kama ni kutokuwa mwaminifu kwenye ndoai, that goes both ways!
 
Uaminifu hautegemei mtandao au daladala au sokoni ni wewe mwenyewe
 
Watu ndio sisi tunaopishana kariakoo na kwengineko,

Mfano: miss neddy wa jf ni tofauti na miss neddy tunaepishana nae mtaani?

Wacha tutongoze tupate wenza humu humu
 
Wanawake wa mtandaoni ndio hao hao wa mtaani.......kwa hiyo sioni ubaya wa mtu kupata mpezi na hatimaye mke au mume kwenye mtandao....ili mradi awe anakidhi vigezo vya muhusika.....
 
Mnanishangaza sana, kwani nikitongoza wa mtandaoni namuoa siku hiyo hiyo?

Huwa nyie mnaotongoza wa kanisani mnafuata principle gani kuwaoa hao mnaowatongoza? Mnatongoza leo na kuoa kesho au mnatongoza na kufuata njia sahihi za urafiki, uchumba hadi kufikia ndoa?

Don't be shortsighted watu wa mmu. Nimedate online na nimetafuta wa kanisani, niliachana na hao wa kanisani longiiii, nothing interesting from them, nimemuona mtu from jan-Dec sina ashki nae, nimtongoze wa nini?

I fancy embarking on relationships online, na mahusiano nilioanzia online yamekuwa matamu kuliko hayo ya kukutana church, kwenye daladala na mtaani.
 
Sijawahi huona Simba Mfalme wa Pori anawinda sanamu la swala...!!!

Online dating ni playground ya wasio na uwezo wa kuwinda...
Kiongozi naomba ufafanue hapo bold kama hutojali..!
 
Yar inawezekana,hasa mkikutata jf, mahari mkalipie facebook, sendoff twtter na ndoa mtafungia instagram....mimba peaneni kwa yahoo tu....
 
Humu kuna magubegube na magumegume yaliyoshindikana hakuna mume wala mke. Usibishe jaribu uone....
Tuombe radhi members wa JF, humu kuna member wenye kariba na nyadhifa tofauti nchi hii.
hao wa huku mitandaoni si ndio hao hao wa mtaani
Kwanza afahamu wengine ni verified user humu kama kina Nicas Mtei, Yericko Nyerere, Ben Saanane, Mwigulu, Kigwallah, Lema, Dr Ndugurile, Mchungaji Msigwa n:k na usisahau marehemu Regia Mtema alikuwa active member hapa mmu na aliwahi kutafuta mchumba kwenye thread moja hivi baadaye ndio akaamuwa kubadili jina Fekelo na kutumia jina lake halisi kila mtu akashangaa kumbe mmu imetoa mbunge! Na leo hii Mmu imetoa Rais wa TFF halafu anatokea mtu tu from no where unawavunjia heshima watu na heshima zao, huu ujuha.
 
Jaman wana JamiiForums, wanajamvi. Hivi mtu unaweza ukatongoza mpaka kuoa mwanamke ambae umemtongoza mitandaoni "social networks" bila kuonana akakubali kwa kuona picha tu? Je atakua mwaminifu kwenye ndoa yake?

NAWASILISHA WANAJAMVI.

Hiyo Mbona inawezekana.,mimi nilishawai kukaa geto nikawa na buni au nabahatisha namba tu then naingiza kwenye whatsup mwisho wa siku nikakutana na namba ina mtoto mkali nikawa naifatilia iyo namba mwisho wa siku nikaja kumpiga mboyoyo kupitia whatsap na kumuambia namba yake alinipa rafiki yake ila simtaji.na yeye alikuwa muelewa na alikuwa anaish morogoro Mimi nipo dar bas mwisho wa siku nikapanga Safari dar mpaka Moro. Now tupo kwenye uchumba tu naelekea kwenye ndoa.
 
Kweli Kabisaa Mkuu Yaani Social Networks ZImesaidia Sana,unampata Mchumba Ukiwa Chumbani/gheto Umepumzika

mkuu ni kweli kabisa, we fikiria mtu upo chumbani umishakula, unaangalia zako Taarifa ya habari, na ulikuwa ume-post uzi wa kutafuta mchumba tuseme JAMII FORUMS, wakati unachukua simu yako kuingia jf, unakutana na PM mnaanza kubadilishana mawazo kidogo then namba za simu, then kama mpo Whatsupp, mnatumiana Picha mbali mbali, mnapanga kukutana rasmi, mnakutana Inshallah kila mmoja anamwangukia mwenzake moyoni! yaani ni raha sana! achana na hawa wa mtaani kwanza wanaringa sana halafu wanajifanya hawana muda! Mitandao ya kijamii imesaidia sana ingawa wetu waliomo jf age imeenda sana.
 
Hahahahahahahaha ngastuka

Watu hawaamini kukutana kimapenzi mtandaoni, waache waendelee na imani zao.

Mnanishangaza sana, kwani nikitongoza wa mtandaoni namuoa siku hiyo hiyo?

Huwa nyie mnaotongoza wa kanisani mnafuata principle gani kuwaoa hao mnaowatongoza? Mnatongoza leo na kuoa kesho au mnatongoza na kufuata njia sahihi za urafiki, uchumba hadi kufikia ndoa?

Don't be shortsighted watu wa mmu. Nimedate online na nimetafuta wa kanisani, niliachana na hao wa kanisani longiiii, nothing interesting from them, nimemuona mtu from jan-Dec sina ashki nae, nimtongoze wa nini?

I fancy embarking on relationships online, na mahusiano nilioanzia online yamekuwa matamu kuliko hayo ya kukutana church, kwenye daladala na mtaani.
 
Last edited by a moderator:
Watu hawaamini kukutana kimapenzi mtandaoni, waache waendelee na imani zao.

Na sie tunaokula vya mitandaoni watuache coz that's our choice. Lakini pia critics sio mbaya, huenda kwa kuambiana tukaona uzuri/ubaya wake. So let us express our views kiongozi.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom