Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,418
- Thread starter
-
- #41
Nothing is "MWAMBAFAILISING"Sio lazima ajute. Ukute ameona jamaa sio husband material [emoji28][emoji28]. Kazi yake kujimwambafai tu mara anapanda miti sijui anawapa ofa ya bia baba na ndugu zake.
Bora abakie na mume wa mtu anae muweka mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwanini mnapenda Mali za watu wakati tuliosingle tupo?
Duh we mzee...We mzee fuata ulichokifuata huko njombe Kuna ukimwi mbaya kuliko corona
Hata wewe uliyekua nae, upo nae kwa sababu imepangwa uwe nae... or else usingekua nae...
Cc: mahondaw
Unajua ni bora utoke na mtu ambaye unajua kabisa kuwa hapa sina changu kuliko kutoka na mtu unajiaminisha ni wako kumbe ye hana wazo la kwenda popote na wewe.Sasa kwanini mnapenda Mali za watu wakati tuliosingle tupo?
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Supporting documents ambazo haziendani.Nothing is "MWAMBAFAILISING"
Hizi nyengine ni SUPPORTING DOCUMENTS tu za MADA YANGU.
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
uishi naye kwa akili huku unajua anatoka na fulani? huu unaitwa UBAZAZI. hata mkeo atasaliti utasema naishi nae kwa akiliTumeagizwa tuishi nao KWA AKILI.
Huwa Niko vile atakavyo.
Akiwa mgawa PAPUCHI basi nitamkumbuka Nikiitaka, akiwa serious na Mimi nakua serious.
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke ni Another factor.uishi naye kwa akili huku unajua anatoka na fulani? huu unaitwa UBAZAZI. hata mkeo atasaliti utasema naishi nae kwa akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi huyo Mungu atakuwa mbaguzi mno maana ananipa umaskini halafu bado nikifa ananichoma moto na wakati anagenipa utajiri ningeshafanya mema mengi mno.Mungu ndiyo hupanga...
Maisha uliyokua nayo siyo yako bali ni kwa sababu ya uwezo wake...
Cc: mahondaw
Basi huyo Mungu atakuwa mbaguzi mno maana ananipa umaskini halafu bado nikifa ananichoma moto na wakati anagenipa utajiri ningeshafanya mema mengi mno.
Ina maanaisha binadamu hatuna free will! Yaani ni kama midoli flani tunachezeshwa na huyo Mungu.
(I do not intend to blaspheme).
Sent using Jamii Forums mobile app
na mwambie Liverpool_Jr aachane na mitungo, kuchangia na huyo mume wa mtu mwenye watoto wakati yeye hajaoa atajakutana na GONOcocous litakalomtesa mpaka hiyo miti aliyopanda itakauka bora CoronaSio lazima ajute. Ukute ameona jamaa sio husband material [emoji28][emoji28]. Kazi yake kujimwambafai tu mara anapanda miti sijui anawapa ofa ya bia baba na ndugu zake.
Bora abakie na mume wa mtu anae muweka mjini