Wanawake wa Milenial bana...

Wanawake wa Milenial bana...

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,417
Niliacha kazi serikalini mwaka 2016
Nikaamua kuzunguka mikoa ya baridi kupanda miti ya matunda (Napenda INVESTMENT kuliko BIASHARA).

Sasa bana mvua za msimu huu wa 2019/20 nimeamua kupiga kambi mkoa fulani. Napanda miti ya mbao na matunda (parachichi).

Katika harakati zangu za kutafuta resource za uwekezaji wangu nikakutana na mtoto mzurii.
Ni mweupe, ana chura ya wastani, sura ipo. Kifupi mbele ya macho yangu ""EXTERNAL STRUCTURE IMEKAMILIKA..!!""

Nikaamua kumspy kupitia kwa VIBARUA WANGU WA SHAMBA.

Bahati nzuri huku kijijini huoana wao kwa wao then WANAJUANA VIZURI SANAA hawa watu.

RAIA zikanipa feedback zotee nilizozitaka...

Sasa bana mi nikamtufuta na kumtongoza.

Alinielewa na nikawa na kula mzigo vizuri tu kila nitakavyo...

SIJAOA, Then nikamuelewa, nikaamua kuanza kufanya official..!!!!
1. Baba na babu yake nawapa sana ofa za visoda na vibia..!!
2. Ninajuana na baadhi ya ndugu zake, na wengine huja kuomba vibarua shambani.
3. Kifupi kwao WASHAJUA NIKO NA MTOTO WAO.

Dah ETI JUZI TUMEACHANA.

Kisa hasa cha kuachana ni MUME WA MTU...!!

Huyu dada alikuaga na urafiki na mume wa mtu, Huyo mume kamsaidia SANAA miaka ya nyuma.
Kampa mtaji, anampendezesha mjini... Kifupi MUME WA MTU ALIGHARAMIA japo siku hizi kulingana na hali taiti za mzee magu Kapunguza Transaction amount..!!

Na sababu hasa ya kuachana Mimi na yeye ni kwamba mi nilimzingua....
""Achana na mume wa mtu, Huo ukaribu uliokua nae SANAA hakuna mwanaume anaeweza kukubali ukaribu huo, tena wa mpaka kushikana kiuno na mume wa mtu eti kisa ni RAFIKI yako MMETOKA MBALI""

Alijibu ""Siwezi kumuacha kama huwezi kuwa na Mimi huku nikiwa nae basi poa tuachane""

Dah Mr. Liverpool nimemuonea sanaa huruma, nikaamua kumpa somo.....

1. Yule ni mume wa mtu na mkewe yuko mbali (mke na mume wanafanyakazi mikoa tofauti) ipo Siku watakua karibu tu.

2. Jamaa ni mkristo hivyo hawezi kuoa mke wa pili, atakufanya tu mchepuko.

3. Awe rafiki yako sawa ila achana na ukaribu nae, ili na wewe upate wako. Sijakunyima kuwa rafiki yako, ila punguza ukaribu nae wa mpaka kujifungia nae chumbani eti mnapiga story, kutoka out, kuongoza kila mara kama mumeo.

Alichonijibu ""SIWEZI NALIPA FADHILA""

Dah kilichoniuma sio ile kuniambia TUACHANE ila eti ANALIPA FADHILA HAWEZI KUMUACHA.

Nimemuonea sanaa huruma huyu dada na ukicheka dada ana miaka 25...
Yaani hajui kwamba anapaswa awe na wake waje kuoana??

Cha ajabu:-
Jana kanitumia SMS ""Kesho nakuja kulala kwako nimekumiss""

Kashasahau siku kadhaa zilizopita aliniambia ""Siwezi kuachana nae (mume wa mtu) bora tuachane na wewe Mr. Liverpool, Mimi na wewe hatuendani wewe una wivu sanaa""

Mabaharia TUCHAKATE TU HIZO PAPUCHI.... ILA KUOA DUUH NOMAA..

Mwanamke kama huyu hata ukimuoa HUYU MUME WA MTU ATAMCHAKATA SANAAA...

Namuonea sanaa huruma BAHARIA ATAKAE KUJA KUMUOA HUYU DADA, lazima ata share PAPUCHI na huyu mume wa mtu...!!!

Madada sometimes WANAUME TUKO REAL ila mambo yenu ndio yanatuangusha.

Mi huyu dada NILIMUELEWA SANAA, Na nilimuelimisha na kushauriana sanaa juu ya maisha yake ila haelewi...

Sasa nilichoamua ni KUMT*MBA TUUU.

Maana soon namaliza kupanda miche yangu nihame mkoa..!!!

Na hii CORONA ndio inataka Liverpool tukose ubingwa..!!!

#YNWA
 
Ushauri mwingine utakaokusaidia kumung'oa na kuwa wako peke yako ni kumuambukiza Corona, mme wa mtu atamkimbia halafu utabaki nae wewe mwenyewe! Maana si mtatengwa wawili tu kwenye karantini la Muloganzila!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaza mbali sana
You Will Never Walk alone! Simple like that. You will never Walk alone.

Who are you to walk alone? Never! Kizuri kula na ndugu yako.

Pitia tena slogan ya Liverpool, afu ujue hayo ndo maisha; afu uache kulialia kwa mtu ambaye si mkeo.

NB: Kulipa fadhila ndo kumefanya umkute akiwa hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom