Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchom
Yaan uwe kwenye mizunguko usubiri mpaka ukale nyumbani siweziii ,nikifika na nyumbani usiku nakula piaWanawake wa mikoani mnalia bar![]()
Hapo hata ukienda leba unajifungua kwa njia ya kawaida maana unakula mlo kamili hizi operation wakati fulani hata misosi wanayokula wadada wa kisasa inachangia

Safi msosi umetulia.Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721
Chizi weweBado upo mwanza.nakuja weekend. Nitakutafuta tu kwichi kwich tena
KabisaHapo hata ukienda leba unajifungua kwa njia ya kawaida maana unakula mlo kamili hizi operation wakati fulani hata misosi wanayokula wadada wa kisasa inachangia
Trump mimi sio madam sHahahahha Madam S utakuwa msumbufu sana kule spotG
Wow na mm kwenye list ya wamkoa nipo napenda sana dona nyanyachungu sanaaa,ila dona na samaki wa mchuzi inapendeza zaidi.Ugali wa dona,nyanya chungu na mboga za majani tunakula haswa sio kushindia chipsi na mihogo au mahindi ya kuchomView attachment 878721
Mi nishachoka vyakula vya mchuzi mchuziWow na mm kwenye list ya wamkoa nipo napenda sana dona nyanyachungu sanaaa,ila dona na samaki wa mchuzi inapendeza zaidi.
haaaaaaaaaahaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhh hii kali!ila ni kweli!kula mlo ulokamilika ndo habari ya mujinHapo hata ukienda leba unajifungua kwa njia ya kawaida maana unakula mlo kamili hizi operation wakati fulani hata misosi wanayokula wadada wa kisasa inachangia
Umetamani samaki najuaila wewe masabrina ndo nn kunitamanisha thato jaman!arghhh
yaan mm sato jamanUmetamani samaki najua