Eee. Sasa unaniita tuje tuonane na mimi nishabudget hela yangu hilo ya nauli nitaitoa wapi? Kama nina shida na wewe budget yangu ya usafiri itakuwepo ila kama wewe ndo umetaka siwezi kuharibu budget yangu kisa mtu kanimiss. Kama hana hela asubiri nikimmiss nitamtafuta

Ila wanawake wa Darisalama wajanja sana, kuna kamchepuko kamoja kalikua kanaenda mkoani kwenye mechi ya ugenini, wakati wa kurudi kanajifanya hakana nauli nikatumie (sikumbuki kama niliwahi kutuma).
Hiyo research yako umeifanyia wapi? sample yako ilikua ni wanawake wangapi na kwa mikoa mingapi na ni mikoa ipi? naona umekuja na conclusion ya kuwajumuisha wanawake wote wa mikoani,bila shaka ulifanya research.