Na kweli ni madebe matupu.....mwingine analalamika kuwa wagumu mwingine analalamika ni walaini,hata hawaeleki wanataka nini
Heheheehehe mecheka na hii dizaini ya majina bulazaPia sisi wanaume t umekuwa rahisi unakutana nae siku hiyo unataka kiss mara umempindua unataka kunyonya mewata mara mkono baharini...hajaongea chochote ushatoa tei tei. Tulivyo vijogoo sikuizi within two mins mchezo umeisha....baada ya dakika ishirini tunakimbilia MMU wanawake wasaivi they are cheap are we expensive??
tehee teheee.....wengi wanakuwa wanangojea chance kama hiyo...alafu wewe unajipitisha pitisha na utani wako wa ajabu....Yaani unaweza kuwa unamtania mtu wala huna mpango nae yeye anakubali hapo hapo tena anaanza kukusumbua na tafadhali nipigie na kubipu kusikokwisha au wanaume tumekua wachache sasa siku hiyo hiyo unakubali.
Unaelekea chumvini?
Kuna ukweli kwa 300%.
Hii kitu inachanganya sana. Ukisema uwe siriaz kidogo utajuta kujaribu!!!!
Kumbe...bhas uache kutania wasichana
Wazoee tu, madebe matupu haya hayaishi kupiga kelele....
...wanawake ni chombo cha starehe
kama vyombo vingine vya starehe...kwa hiyo mtafute..ukiwa unataka kustarehe..ukishamaliza starehe zako..achana nae...
Yaani unaweza kuwa unamtania mtu wala huna mpango nae yeye anakubali hapo hapo tena anaanza kukusumbua na tafadhali nipigie na kubipu kusikokwisha au wanaume tumekua wacha
che sasa siku hiyo hiyo unakubali.